Kitandu Nkoru
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 885
- 973
haioneshi tarehe ya kuanza kaziAlikuwa hukuView attachment 1238488
ππππMimi nmeanza leo naunganisha na Christ Mass mumo kwa mumo
Mkuu watanzania hawasikitiki mabaya yawapatao wenzao, mambo yalianza kipindi lissu kapata tatizo LA kushambuliwa Dodoma, wako watu walikunywa bia...Bado siamini, nitaendelea kusubiri official news kuhusu hili.
Yani mmeshaambiwa na hamsikitiki jamani?!
If it is true, I am saddened in my heart.
Dunia mapito wote tuta pita usiogope kuwa tayari wakati wowote Mitume wote walionja umaitiMnagombana kwa habari msizokuwa na uhakika nazo. Muwe nasubira.
Daaa nimeona hili neno 'mumo kwa mumo' nikakumbuka mbali sana, sikujua km na kwenye kiswahili lipoMimi nmeanza leo naunganisha na Christ Mass mumo kwa mumo
Mlima mrefu huu kuupanda ujueNi kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Waliofanya hayo, ni binadamu tuwasamehe. Tukisameehana madogo, tutasameehana na makubwa.Mkuu watanzania hawasikitiki mabaya yawapatao wenzao, mambo yalianza kipindi lissu kapata tatizo LA kushambuliwa Dodoma, wako watu walikunywa bia...
Subiria breaking news mkuu hata usijali. Bado hujapitwa na kitu.M mwenyewe sielew, bila shaka kuna jambo limenipita kushoto....
Anyway lbda sbb nipo mbali na dunia huku ushirombo naugulia mvua imepita na makebich yangu yote nimebakiziwa vyuraa
[emoji40][emoji40][emoji40]Mshana we unaujua kweli thibitisha basi mkuu
Weeee , hujambo ?
Huwezi kujiandaa kufa, ni ngumu sana. Tunaamini ndio mapito yetu lakini hakuna aliye tayari kwa hilo.Dunia mapito wote tuta pita usiogope kuwa tayari wakati wowote Mitume wote walionja umaiti
πββοΈππ·πΊπΎDaaa nimeona hili neno 'mumo kwa mumo' nikakumbuka mbali sana, sikujua km na kwenye kiswahili lipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imetoka nyingine kuwa kuna mkutano unaanza j3 na yeye alipaswa kuwa mgeni rasmi ila hatokuwepo badala yake atawakilishwa na makamu wa Raisi.
Hapo vipi?
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?Mimi jana nilipiga lager baada ya miezi sita