Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ni kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Mlima mrefu huu kuupanda ujue
Mmoja kasema tusiombee mtu mabaya
I don't give a shit come what may
 
Mkuu watanzania hawasikitiki mabaya yawapatao wenzao, mambo yalianza kipindi lissu kapata tatizo LA kushambuliwa Dodoma, wako watu walikunywa bia...
Waliofanya hayo, ni binadamu tuwasamehe. Tukisameehana madogo, tutasameehana na makubwa.
Tusilipiziane visasi, hii dhambi haina mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom