Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ben saa nane, Azory, Akwilina na wengine wengi
 
Kwani barua ya uteuzi hukuisoma? Kama mmeisoma na hamjaielewa basi watafute bite nyingine maana hiyo haijawashawishi wengi.
 
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Nani anaumwa?
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Mataga ni kundi la vijana wajinga wajinga wanaofikiri kwa kutumia tumbo, wako tayari kulamba miguu hadi matako ya watawala ili wapate uteuzi.

Wao kwenye kila kitu huona kizuri tu na hata palipo na wizi, uporaji, unyasasaji, na uonevu wao mtesi huwa wanamwita mzalendo.

Kimsingi ni kundi la wajinga na wapumbavu.
Eti MATAGA ndio nini au nani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…