Kuna watakao kataa watataka sauti yake ndio waamini. Ubaya haulipwi kwa ubaya, ubaya ulipwa kwa mema.Tundu Lissu ndani ya Tweeter.......Msilipe ubaya kwa ubaya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watakao kataa watataka sauti yake ndio waamini. Ubaya haulipwi kwa ubaya, ubaya ulipwa kwa mema.Tundu Lissu ndani ya Tweeter.......Msilipe ubaya kwa ubaya!
Mataga ni kundi la vijana wajinga wajinga wanaofikiri kwa kutumia tumbo, wako tayari kulamba miguu hadi matako ya watawala ili wapate uteuzi.
Wao kwenye kila kitu huona kizuri tu na hata palipo na wizi, uporaji, unyasasaji, na uonevu wao mtesi huwa wanamwita mzalendo.
Kimsingi ni kundi la wajinga na wapumbavu.
Je kuna mtu ana roho mbaya na chuki iliyopitiliza kama huyo aliyepewa hongera hapo?Hizi siku chache watu wenye roho mbaya na chuki iliopitiliza wanajidhihirisha
Haahaa kwamba aseme hakupiga lager.watanzania kwa unafikiHii comment naona kama hujaizingatia sana ndugu ila haifanani na mtu mwerevu kama wewe!
Tunamsubiri msemaji mkuu wa serikali
Nikienda Twitter nakutana na codes, nikirudi JF ni nyuzi za codes! Kuna muda nikaamua kulala nikaamka akili yangu bado haielewi kitu!
Nafikiri mnataka kunipotezea nisiwaze yale mahela yalolipwa juzi...
jibu murua hiliKama ni mfuatiliaji angalia kama unaona post yeyote toka kwa kina Victorie et al (ambao walikuwa very vocal and adamant kuthibitisha otherwise mwanzoni habari hizi zilipoanza).
Usiwaige wapumbavu, unaweza kufanya wema hata katikati ya wakosefu. Jitambue utoke huko, ubaya ulipwa kwa wema.Utu unauzungumzia.View attachment 1238809
Mwanaye mpendwa, TumainiEl Etwege Mgonjwa mtambuka kimyaaaaaHivi tetesi zote hizi Jiwe anavyojua kujimwambafay angesha toa neno.
Hawakuanza Leo Mkuu, muulize lissu atakwambia,tushazoea.jeshi la polis lilipiga marufuku watu kukusanyika kumuombea makanisani Na misikitini..Hizi siku chache watu wenye roho mbaya na chuki iliopitiliza wanajidhihirisha
Na kama ni habari ya kutungwa,itakuwa kashfa ndani ya jamii ya upinzani.mara nyingi nakuaga pande wa upinzani. Lakini hata kama humpedi Magufuli kiasi gani huwezi ukachekelea kuumwa kwake hadharani. Hata kama moyoni kwako unataka iwe hivyo, sio kitu smart kuonyesha hisia hizo kwa umma, ni kosa moja kubwa sana kisiasa.
Ndio maana hata Tundu Lissu alipopigwa risasi Magufuli alitweet kumpa pole, japo naamini serikali yake inahusika, lakini alifanya kinachotakiwa kufanywa na mwanasiasa. Hutakiwi kushangilia ugonjwa wala kifo cha mpinzani wako hadharani.
Walichonishangaza zaidi hawa Wapinzani walikuwa wakichekelea wakati hata mtu mwenyewe haijulikani kama ana afya kweli ama mgonjwa, sasa ukishangilia halafu mtu akajitokeza mzima kabisa utajificha wapi?
Najua ni viongozi wachache wa Upinzani wamefanya hivi, lakini wapinzani wanapaswa kufundishana namna ya ku behave mbele ya public, samaki mmoja akioza watatangaza mmeoza wote, wanaangaliwa na watu wengi, na kila wanachoandika watu wanaki judge.
Hapa wanawafanya CCM kama akina Musiba hivi kuaminika zaidi kuwa Wapinzani wapo kwa ajili ya kumduru magufuli na wanashirikiana na mabeberu kufanya hivyo, yaani wanajipiga risasi ya mguuni kama sio kichwani kabisa.
Wamenisikitisha sana
Kuongea kistaharabu ndo kuongeaje,ama ulmaanisha niandike kistaarabu..?Acha mihemko ongea kistaharabu basi matusi ya nini
Usemayo ni kweli, lakini najiuliza ujumbe huu tukipewa tuupeleke kwa Lissu au familia za Azory au Ben sijui tunaanzia wapi?Pamoja na kwamba alikua kiongozi wa nchi pia ni baba na ana familia iliyokua inampenda,muwe mnawafikiria hao hawajawakosea lolote [emoji22]