Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mkuu kosa La jf ni nn.unawaonea.hapa jf ni maoni ya RAIA.unazuiaje maoni ya watu.
 

Ni hivi, unavyoishi na watu ndivyo utakavyopata mrejesho pindi ukipata tatizo. Haya yanayoendelea ni mrejesho wa hali halisi. Ukiweza weka jinsi Lissu alivyofanyiwa ubinadamu na serikali hii.
 
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Hata mimi jana nimepiga bia hatari sana, yani jumla nimtumia kama laki mbili hivi, Mungu ni mwema
 
Nawashangaa kwa kumuombea mabaya binadamu mwenzio,hata kama unamchukia kiasi gani,lakn inapofkia kumuombea kifo,hapo utu unakuwa umekutoka....u become an animal or something far than that!
Kwani yeye ni mtu. Alishakuwa mnyama siku nyingi sana.
 
Hatuna upinzani Tuna wapumbavu fulani hivi
Wanao shikiliwa Akili na Wapumbavu wenzie
Wacha wakazanie Upumbavu wao
Msingwa kasimamia ile kauli ya
MJINGA HAJIBIWI
 
Kama kingekuwa kinamong'onyoka bila shaka mpaka ifikapo jioni kitakuwa kimekwisha. Manake kila wakati kinagongwa. Wazee wamekalia taarifa, makapuku wanahangaika huku na huko kuisaka taarifa nzito. Ama kweli banaadamu banajua kuficha, lakini banashindwa kuelewa ni muda tu, mambo yooote yatakuwa hadharani.
 
Una ushahidi gani kama ni wapinzani wanafanya hayo? Kama wapinzani ni wadudu basi maccm ni mataahira.
 
UNAWEZA UKATUSAIDIA HIYO PICHA IMEPIGWA MWAKA GANI? KUNA JAMAA HAPA ANASEMA MWAKA 99.
 
Naweza nisikubaliane na mambo yanavyoenda lakini siwezi kuunga mkono uchuro Wa kuombeana maovu kwa binadamu mewenzangu. Na kwa maombi yauovu tujue Mungu hapangiwi. Mungu anaweza kuwageuzia kibao wanaoomba yeyote apate yaysiypstahii.
Sikuona comment yako Lisu aliposhambuliwa
 
Idiot kabisa. Kwa taarifa yenu rais yupo mzima wa afya.
Si atokeze sasa. Alivyompenda masifa angekuwa na afya njema ungemuona kwenye vyombo vya habari.

Siku Bashite aliposema tukahakiki bunduki alikuwa wa kwanza. Siku ya usafi Jumamosi alionekana wa kwanza pale ferry. Mungu hadhihakiwi, muda si mrefu tutajua ukweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…