AbeeeAisee
A4 ndo kawaida siku zote huwa hivyoLive au kwenye A4?
Anaapisha lini?Jana amefanya teuzi
It's payback time broo...tulikuwa na mshua wetu mkali kinona alikuwa anatudunda kinona kosa akifanya m1 ni kisago kwa wote mpaka bi mkubwa nae anachezea....siku alipokata kamba ilikuwa bigparty na si msiba...Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Yote kheri ila hapa tunaangalia ni jina lipi linafanana na kundi fulani kivitendoNa aliyewaita nyie mataahira hakukosea
Akiliyo ina unyafuzi!Sijaona code yoyote hapo! Watu hawajazuiliwa kufikiri, ila nasema tu kwa namna watu wanavyoruhusiwa kufikiri, Jamiiforums wakipona basi watu waache kulalamika kwani wanaruhusiwa kufikiri na kusema watakavyo
Mbona mlingoti mmoja hauna bendera?
Watz halisi hatuna tabia za visasi hizi tabia zinataka kuletwa na wakuja,na watasambaratika kwa njia sabaHuyu jamaa namkubali kwenye ujenzi. Ila simkubali kwenye kuonea watu asiowapenda.
Bora arudi aondoke 2020 kwa kupumzika kuliko kufa.
Nchi yetu itaharibika ndani ya muda mchache sana maana watu watalipizana visasi na kugombea nafasi zao
KESHO MTAWEKA WAPI NYUSO ZENU MZEE BABA AKIHUTUBIA MKUTANO NYETI PALE IKULUKifo ni sehemu ya maisha,maisha lzm yaendelee gari alijawahikosa dereva
Hilo la kwanza ndio sahihiKuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!
1. Nikweli mzee aliumwa sereous, na sasa anaedelea vizuri, na wengine wame exagrate tu mambo mpaka kumsema hayupo duniani
AU
2. Nikweli mzee hatukonaye duniani na inafichwa kutengeneza mazingira sahihi ya watu kuelezwa
3. Mzee yuko salama, mapumziko mafupi baada ya ziara ndefu na anawachora tu wanao sambaza hizi story
Chakufunywa:
Tusubiri muda huwa haudanganyi lolote!! Yatajulikana tu!!
Kuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!

Kikubwa cha kushukuru Mungu ni wa wote si wakina fulani .Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Kuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!
1. Nikweli mzee aliumwa sereous, na sasa anaedelea vizuri, na wengine wame exagrate tu mambo mpaka kumsema hayupo duniani
AU
2. Nikweli mzee hatukonaye duniani na inafichwa kutengeneza mazingira sahihi ya watu kuelezwa
3. Mzee yuko salama, mapumziko mafupi baada ya ziara ndefu na anawachora tu wanao sambaza hizi story
Chakufunywa:
Tusubiri muda huwa haudanganyi lolote!! Yatajulikana tu!!
Lakini mada hii haiko huko, hii inazungumzia MTU anayepata matibabu ya kustahili kupelekwa hospitali ile ya Dodoma!Kuna mambo matatu kwenye hili toka nilipo liona juzi!!
1. Nikweli mzee aliumwa sereous, na sasa anaedelea vizuri, na wengine wame exagrate tu mambo mpaka kumsema hayupo duniani
AU
2. Nikweli mzee hatukonaye duniani na inafichwa kutengeneza mazingira sahihi ya watu kuelezwa
3. Mzee yuko salama, mapumziko mafupi baada ya ziara ndefu na anawachora tu wanao sambaza hizi story
Chakufunywa:
Tusubiri muda huwa haudanganyi lolote!! Yatajulikana tu!!
WasiojulikanaAcha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Mafumbo yamezidi
Vitu viwekwe wazi
Kuchunguza hapa kutanisaidia nini?
Tobaa!!Mungu ampende zaidi. Amina