SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Any proof?ameshakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any proof?ameshakufa
Jameni hizi taarifa shoga angu za kweli ?sinwatangaze harakaa
Kesi za kubambika ushahidi utoke wapi?Mbona wanawaachia wameshindwa kuwatia hatiani kisheria?! Sijasikia aliyefungwa, nasoma humu DPP kawaachia, mara DPP kaibiwa.
Umekomalia😂 ,,simpendi lakini asifeameshakufa
Hii sherehe yako inaelekea kuwa na maisha mafupi.Mimi jana nilipiga lager baada ya miezi sita
Km mzima afanye hata press tumuone Basi,, tumemmissRaid Magufuli yuko salama kabisa. Soon mtamuona, ila pia tusipende kutengeneza taaruki zisizo na tija. Mungu ibariki Tanzania, Mungu endelea kumlinda Rais wa Haifa letu mh Magufuli.
Upi ukweli Battery imekata moto (pacemaker) au Dish limeyumba?Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
Nimeamini hiki kitufe cha new posts ni balaa tupuTime will tell
HEART ATTACK,but everything is under control.
Mkuu supu tayari hapo fyatanga?Time will tell
Unao washangaa ni kina nani?
Kama kuna jambo lolote litamtokea Rais under no any circumstance hatuwezi kuwalaumu wapinzani! Watu wa kulaumiwa ni walio karibu na Rais i.e. CCM,PSU na JWTZ!
AKIWA ZIARANI KELELE MINGI AKIPUNZIKA MNAANZA majunguKigogo ni attention seeker kama walivyo wakina Musiba. Wamekutana na Pogba sio mtu wa kupotezea mambo basi kila anayemchokonoa na yeye lazima a react.
Mwanzoni nilimwambia sasa niko ka weeDaah wabongo... Kuna wakati unashangaa, unasikitika ila baadae unajikuta unacheka tu
Kesho ataongea na viongoziKm mzima afanye hata press tumuone Basi,, tumemmiss
Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana
Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza
Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa
Matokeo yakiwa ndivyo sivyo
1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo
Matokeo yakiwa has kwa taifa
Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao
Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa
Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi jana nilipiga lager baada ya miezi sita
Kifo ni sehemu ya maisha,maisha lzm yaendelee gari alijawahikosa derevaUmekomalia😂 ,,simpendi lakini asife