Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Duhh.... Uzi unakimbia balaa...

Tupen habari mpyaaa..!??
 
Hata ikitokea hawawezi tangaza maana italeta ugumu kwenye transfer of power.
Transfer of power inafanyika kwanza afu ndo mrithi wake anatangaza, vinginevyo nchi itakuwa pabaya
Jameni hizi taarifa shoga angu za kweli ?sinwatangaze harakaa
 
Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
 
Raid Magufuli yuko salama kabisa. Soon mtamuona, ila pia tusipende kutengeneza taaruki zisizo na tija. Mungu ibariki Tanzania, Mungu endelea kumlinda Rais wa Haifa letu mh Magufuli.
Km mzima afanye hata press tumuone Basi,, tumemmiss
 
Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
Upi ukweli Battery imekata moto (pacemaker) au Dish limeyumba?
 
Unao washangaa ni kina nani?
Kama kuna jambo lolote litamtokea Rais under no any circumstance hatuwezi kuwalaumu wapinzani! Watu wa kulaumiwa ni walio karibu na Rais i.e. CCM,PSU na JWTZ!
Kigogo ni attention seeker kama walivyo wakina Musiba. Wamekutana na Pogba sio mtu wa kupotezea mambo basi kila anayemchokonoa na yeye lazima a react.
AKIWA ZIARANI KELELE MINGI AKIPUNZIKA MNAANZA majungu
Daah wabongo... Kuna wakati unashangaa, unasikitika ila baadae unajikuta unacheka tu
Mwanzoni nilimwambia sasa niko ka wee
 
Chama Gani cha Upinzani kimetoa Taarifa ya Kuhoji Alipo Mhe.Rais au Kumuombea Mabaya?? Acheni Kuwahusisha Vibaka Kama Akina Kigogo2014 na upinzani safi Uliojiandaa kuchukua Dola ifikapo 2020.
Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana

Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza

Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa

Matokeo yakiwa ndivyo sivyo

1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo

Matokeo yakiwa has kwa taifa

Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao

Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa

Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom