Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kama vp adanji tu kaumiza sanawatu huyo mtu so vyovyote freshi,kama mzima ajifunxe kuishi na watu na aache roho mbaya sabb saiv watu walikua wanatakiwa kumuombea ila sababu ya tabia zake watu wanamuombea adanji.Au wako busy kutafuta Body Double hawashindwi!
 
Najiuliza tu, je waliopewa adhabu na chizi ni sahihi kuitekeleza adhabu hiyo? Nawaza tu.
 
Tundu Lissu rudi nyumbani hali iko shwari sasa πŸ’ƒπŸ•ΊπŸΎ
Natabiri chadema watachukua nchi kiulaini,
Asipokufa huyu sheitwani lisu ndo atamsainia hela yake ya pension, yule aliyegoma kumlipia hela ya matibabu,
 
Ukweli tupu tuna muda mrefu bendera haijakaa nusu mlingoti
 
Mungu ampende zaidi ili atimize ndoto yake ya kuongoza malaika
 
KESHO MTAWEKA WAPI NYUSO ZENU MZEE BABA AKIHUTUBIA MKUTANO NYETI PALE IKULU
Dunia inamilikiwa na Mungu na wote ni wana wa Mungu kupewa ridhaa ya kuendesha gari sio haki ya kuwaumiza wengine.Waliomuombea kifo Lowasa walitangulia wao Lowasa huyo anadunda hata kesho,waliomtaka Lisu atangulie watatangulia wao wakimuacha Lisu akidunda.Tumepewa nafasi tutende mema tumuabudu Mungu tukiwa viongozi tufanyike baraka kwa watu na sio laana kwa watu.Dunia tunapita kwann tuwalize tuwaumize wengine?Apandacho MTU ndicho atakachovuna.
 
ITAKUWA KICHAAAAA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…