Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
Najiuliza tu, je waliopewa adhabu na chizi ni sahihi kuitekeleza adhabu hiyo? Nawaza tu.
 
Kama vp adanji tu kaumiza sanawatu huyo mtu so vyovyote freshi,kama mzima ajifunxe kuishi na watu na aache roho mbaya sabb saiv watu walikua wanatakiwa kumuombea ila sababu ya tabia zake watu wanamuombea adanji.Au wako busy kutafuta Body Double hawashindwi!
Ukweli tupu tuna muda mrefu bendera haijakaa nusu mlingoti
 
Twende mbele turudi nyuma jpm amefanya Mambo mengi ambayo yameligawa taifa ila afya yake ni jambo muhimu Sana kwa ustawi wa taifa letu binafsi natumia nafasi hii kupingana na wote ambao wanamuombea mabaya sio heshima na sio ubinadamu hata kidogo Mimi sio mpenzi wa siasa za magufuli ila kwenye swala la afya yake jpm anageuka kuwa rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kama kweli anaumwa namtakia apone haraka rais wangu!!
Mungu ampende zaidi ili atimize ndoto yake ya kuongoza malaika
 
KESHO MTAWEKA WAPI NYUSO ZENU MZEE BABA AKIHUTUBIA MKUTANO NYETI PALE IKULU
Dunia inamilikiwa na Mungu na wote ni wana wa Mungu kupewa ridhaa ya kuendesha gari sio haki ya kuwaumiza wengine.Waliomuombea kifo Lowasa walitangulia wao Lowasa huyo anadunda hata kesho,waliomtaka Lisu atangulie watatangulia wao wakimuacha Lisu akidunda.Tumepewa nafasi tutende mema tumuabudu Mungu tukiwa viongozi tufanyike baraka kwa watu na sio laana kwa watu.Dunia tunapita kwann tuwalize tuwaumize wengine?Apandacho MTU ndicho atakachovuna.
 
Kuna mzee mmoja namheshimu sana anasema dalili za awali za mtu kuugua ule ugonjwa wa kupelekwa Dodoma ni eitha kuwa mpole kupita kiasi na kujitenga au MTU kuwa mkali sana na kutukana hadharani au hata jukwaani msivyotegemea.
Sasa kikipanda ni kumtia kamba na kumpa madawa wakati mwingine ya kulala usingizi siku mbili nzima.
Huyu mzee anasema MTU huyo akizinduka basi atajulikana apelekwe Dodoma au atangazwe "huyu sasa basi dish limecheza"
Mimi nilimuelewa wewe jee?
ITAKUWA KICHAAAAA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom