Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kila mtanzania ana wajibu wa kumlinda kwa kuikomboa Tz kutoka kwenye makucha ya mafisadi. Mwenyezi Mungu mlinde raisi wetu .
 
h
Hata ulinzi wa sasa umeimarika zaidi kuliko awamu zilizopita.
 
Binafsi namuombea Mh. Raisi. Katika kazi yake lazima maadui watakuwepo na wasiopenda ufanisi watakuwepo tu. Lazima atakuwa amefanya makosa(kama binadamu mwingine), kama ni mgonjwa namuombea speedy recovery.
 
Hii ni story ya kweli na huu niushauri kwa wale wenye madaraka na pesa kuto jisahau nakuchunga midomo yao pindi wanaongea.

Siku moja kiongoz wa taasisi fulani alimkuta ofisa wa daraja la chini akitoa maoni yake kwenye kikao fulani sasa yale maoni yakawa kama yanamgusa na kwa hasira akamtafuta yule kijana nakumwambia atamshusha daraja na kumkaripia sana yule boss alikuwa nikama daraja la nne kutoka yule ofisa. Yule ofisa hakujibu sana zaid yakumsikiliza Boss wake nakusubiria any time kushushwa daraja lakin kilichotokea yule boss akawa ndie anashushwa daraja miaka nane sasa yule bwana kila akifika nafas fulan anashushwa anakaa mwingine.

Hii inamanisha nini hasa? Wanadam ni viumbe hatari sana kunawanadam sio wakawaida. Hivi sijuwi kama umewahi sikia habari ya mtu mmoja alikuwa akimshauri kijana na yule kijana akamwambia ujana wangu ale nani? Haikupita muda yule kijana akafa kifo cha ajabu sana.

Ndugu zangu kuna watu niwakawaida sana ila waogope sana na hawa tupo nao maofisin na majumbani usiwachukue poa. Kuna kiongoz mkubwa sana amekutana na mambo mazito sana ila angalia watu walio simama nakumshughulikia lile kundi wengi wamepumzika na hiyo ni picha halisi ya hatari ya kiumbe mwanadam.

Nani anamkumbuka kiongoz fulan wa upinzani alie kuwa akiwasemea wanakijiji wa kijijifulan kusini alafu akasimama mbunge wa lule jimbo nakumnyooshea kidole yule kiongoz wa upinzan baadae alipata ajali na ule ule mkono alio mnyooshea ukakatika. Hayo ndio maajabu ya kiumbe mwanadam na hatari zake.
Wapo watu ni hatari kuliko sumu ya koboko. Kuna watu akikuangalia au akiumia moyoni na wewe unaumia kama alivyo umia. Jambo linaweza kuwa baya sana.

Usimdharau mtu kwa maisha yake au nafasi yake kuna watu ni zaid ya hatari. Mkurugenz fulan akiwa ktk kikao alikutana na swal kutoka kwa kujana ambaye kwa nafasi yale nikama mtu wa certificate sasa yule mkurugenz hakupenda swal lile alichokifanya nikumpa transfer kwenda mbal kabisa na mkoa wa Dsm sasa kilichotokea yule kijana aka pangua alafu akaomba kuonana na Mkurugenz na alikuwa ananeno moja tu kumuuliza je amewauliza HR file lake kama analo? Mkurugenz kwa kiburi akamuagiza Mkuu wa HR kijana akiendelea ku pangua transf afukuzwe... Tobaa kumbe anajifukuza. Basi jamaa kwel akafukuzwa na alipo pat baruwa akaomba tena kwenda kwa mkuu nakumshukuru mwaka mmoja baadae yule yule alie mfukuza akaja na dispatch kutoka ikulu ya baruwa kutoka kwa Rais kwamba hana kazi. Ndugu zangu sijuwi niseme nin mnielewe juu ya utisho wa mwanadamu na vile yatupasa kuchunga midomo na action zetu.

Kun vijana wameheshimiwa nakupewa madaraka ila uwenda miaka yao imekuwa mifupi kwa kulewa madaraka wamewaambia watu wataona na hawajuwi same people wanatoa taarifa zao na uchafu wao bila chenga na siku zao zinasoma kama mshale wa saa.

Mkuu mmoja wa mkoa miakafulan akaweza kujuwa aina ya hawa watu na ktk kujiham akawa anawapiga majungu nakuwanyanyasa sana siku anatenguliwa mmoja ya wale aliwanyanyasa ndio alikuwa mkuu wa mkoa. Na aliondoshwa usiku wala sio mchana. Cheo nidhamana waheshim watu na funga mdomo.

Naogopa mdomo naogopa madaraka yakiwa yanakuongoza bila kuyaongoza. Kitisho cha Goliati kilimfanya Mungu kushuka nakumuondoa kupitia kijana mdogo sana hili nifundisho kwamba alie kupa wewe ndie kamnyima yule be humble person.
 
Siwezi soma hii
 
Hakuna tatizo lolote watanzania.Endeleen na kazi zenu za kujenga taifa na familia zenu.Achen kupoteza muda kwaa tetes zisizo na maana hizi.
Kumbe ndio maana makampuni ya sim yanaongeza gharama za bundle za internet il kuwapunguzia kaz zisizo na maana
 
Mkuu,katika shughuli zenu vitabu (vinavyopigwa mikindani,pangani,mtwara,Lindi,rufiji,Tanga,Mombasa) na unga wa miti, shughuli ipi inatisha kwa matokeo?
 
Huyu kigogo mbona ana confidence sana.. Inawezekana jamaa kakata moto kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…