Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Leo nmemkumbuka home boy.
Screenshot_2019-10-20-09-09-24.jpeg
 
Ukisikia akili za kipumbavu ndizo hizi za uzi huu.

Zitto anafanya mambo ya kitoto akisahau kuwa kauli yake huwa inasikilizwa.

Kinachomkera ni kuona hakuna anayehangaika nae, watu wanafanya kazi kwa kufuata ratiba waliyojiwekea.
 
Nimejifunza jambo kwenye mifano yako lakini bado naona hoja zako haziendani na uzi huu. Kuna jambo ambalo nakubaliana na wewe kuwa kuna kuoneana sana kwenye maeneo ya kazi na mara nyingi inatokana na kibri cha waliopewa dhamana ya kuongoza wengine.

Wengine huwa wazichukulia hizi ofisi za kama mali zao binafsi. Wengine utawakuta ni maprofesa waliotegemewa kuwa na busara. Wengine tayari mabaya yameshawakuta kupitia vilio vya watu aliyokuwa akiwanyanyasa.

Hawa ndiyo binadamu ndiyo walivyo. Lakini ili tuishi upande wa Mungu tuwasamehe hawa tuwaonbee mema kwa kuwa kuna maisha mazuri baada ya duniani. Jukumu letu kubwa liwe ni kujifunza mengi kupitia ubaya wao. Tujifunze kusamehe na halo tutakuwa tumeshinda na kusimama upande wa mafundisho yatokanayo na maandiko matakatifu.

Tuwasamehe tuwaombe wao na familia zao ili vizazi vyao vibadilike wazaliwe mle ndani walio wa safi na wanao heshimu utu wa mtu. Siyo vizuri kueneza chuki haifai na siyo misingi ya taifa letu.
 
Maadui wakubwa wa JPM wapo ndani ya chama chake,huku nje wapo wapiga kelele tu wasio na madhara
Hilo ni la kweli, watu wamenyimwa kufanya kama walivyozoea, binadamu habadiliki kirahisi sana. Lazima chuki itakuwa kubwa dhidi yake. I pray for him, I pray for his speedy recovery!
 
Tatizo nchi hii wehu wengi sana Mkuu jumlisha na ujinga wetu. MTU kaugua ugonjwa kama wengine alaf wengine wanaanza kuhusisha juju na mauchawi
Hata mimi sijui Kipi ni kipi mkuu? Kumbe ni ugonjwa wa kawaida?
 
Nimejifunza jambo kwenye mifano yako lakini bado naona hoja zako haziendani na uzi huu. Kuna jambo ambalo nakubaliana na wewe kuwa kuna kuoneana sana kwenye maeneo ya kazi na mara nyingi inatokana na kibri cha waliopewa dhamana ya kuongoza wengine.

Wengine huwa wanazichukulia hizi ofisi za umma kama mali zao binafsi. Wengine utawakuta ni maprofesa waliotegemewa kuwa na busara. Wengine tayari mabaya yameshawakuta kupitia vilio vya watu aliyokuwa akiwanyanyasa.

Hawa ndiyo binadamu ndiyo walivyo. Lakini ili tuishi upande wa Mungu tuwasamehe hawa tuwaonbee mema kwa kuwa kuna maisha mazuri baada ya duniani. Jukumu letu kubwa liwe ni kujifunza mengi kupitia ubaya wao. Tujifunze kusamehe na hilo tutakuwa tumeshinda na kusimama upande wa mafundisho yatokanayo na maandiko matakatifu.

Tuwasamehe tuwaombee wao na familia zao ili vizazi vyao vibadilike wazaliwe mle ndani walio wa safi na wanao heshimu utu wa mtu. Siyo vizuri kueneza chuki haifai na siyo misingi ya taifa letu.
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike,get well soon Mr president, we need you more
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom