Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha!!!!!Heart attack haijalishai hta kama una walinzi milioni moja
Anaendelea vizuri. Kama mnavyojua sio rahisi kuescape heart attack. Mungu ni mwema. Kama mnavyojua tena ukisurvive inatake time kurecover. Still recovering. Maadui watafute bazoka wajinyonge tu sasa.leta mrejesho wa vital signs
Kwani kuna watu walitaka kumdhuru au ni ugonjwa tu wa kawaida?
Mwenye visasi ni yule aliyesema akiletewa shida na mbunge wa CCM atasikiliza, akija mbunge wa vidole 2 hatamsikiliza. Acha unafikiWatz halisi hatuna tabia za visasi hizi tabia zinataka kuletwa na wakuja,na watasambaratika kwa njia saba
Hilo ni la kweli, watu wamenyimwa kufanya kama walivyozoea, binadamu habadiliki kirahisi sana. Lazima chuki itakuwa kubwa dhidi yake. I pray for him, I pray for his speedy recovery!Maadui wakubwa wa JPM wapo ndani ya chama chake,huku nje wapo wapiga kelele tu wasio na madhara
Hata mimi sijui Kipi ni kipi mkuu? Kumbe ni ugonjwa wa kawaida?Tatizo nchi hii wehu wengi sana Mkuu jumlisha na ujinga wetu. MTU kaugua ugonjwa kama wengine alaf wengine wanaanza kuhusisha juju na mauchawi
Ya ziarani kusiniHii ni ya lini tena?