Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mm naamini sina wasiwasi juu ya afya ya mzee wetu
Ila tu mm natamani nimuone maana toka alivotoka mtama sijamuona tena
 
Lissu yuko ziarani Ulaya na hasimu wake kaenda kutibiwa hukohuko, wamekutana katika bara moja kwa matibabu
 
Gazeti la leo linaonyesha Mh Rais amemtumbua mtu jana
 
Naamini JPM Ni Mzima wa afya tele.Ila Kuna ishu kubwa inakuja karibuni.Ishu za wahujumu uchumi.Ishu ya Seth na Rugemarila siyo ndogo lazima mtu aingie katika mfungo na tafakari kubwa.Kuna mazito yanakuja.Jiwe anakuja na maamuzi magumu.Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe
 
Haya Kachukue buku 7
 
Binafsi namuombea Mh. Raisi. Katika kazi yake lazima maadui watakuwepo na wasiopenda ufanisi watakuwepo tu. Lazima atakuwa amefanya makosa(kama binadamu mwingine), kama ni mgonjwa namuombea speedy recovery.
Maadui wakubwa wa JPM wapo ndani ya chama chake,huku nje wapo wapiga kelele tu wasio na madhara
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…