Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Mkuu haujui Kuna binadamu wanamtindio wa ubongo
 
Kaka yangu ZITTO KABWE upoooooooooooooo!!

Kwani hizo nchi ulizotaja zilianza usiku mmoja au mwenendo ulikuwa huu huu mpaka wakafika huko? Hao uliowataja wamesema nchi ina vita au ina chuki? Ama hujui tofauti ya chuki na vita? Sisi hatuifananinishi amani na upendo wa nchi yetu na hizo nchi ulizotaja, bali tunaifananisha na Uswisi. Unatutajia nchi zenye vita ili kutufanya tujione tuko sawa? Huu utetezi wa kijinga peleka kwa wajinga wenzio.
 
Na uko ndiko tulikokuwa tukielekea imagine kila mtanzania awe na tabia kama jiwe nini kingetokea watu zaidi ya mil 60.
 
Nazidi kuamini matukio mengi hutengenezwa au kufanywa na serikali ili kuwatoa watu katika hoja ya msingi.

Nachokiona mara baada ya mkuu kupatwa kule kusini serikali ikaja na tukio la DPP ili kupotezea watu wasihoji aliko baada ya safari ya Muhimbili kushindwa then South then kwa mabeberu Ujerumani.

Ndio maana wanajichanganya kati ya polisi na mambosasa
 
Hizi nchi ulizozitaja yaani Somalia,DRC Congo,Libya zote zina vuguvugu la kivita lakini kwa sisi Tanzania hatuna vita bali tuna kinachoitwa msuguano wa kisiasa na ulianza kati ya CCM na CHADEMA baada ya mzee EL kuingia CHADEMA ,then kukaanza kushambuliwa viongozi wa cdm mfano mashabiki wa upande mmoja wanashangilia kwa kuharibiwa mali za mwenyekiti Mbowe ie mashamba ,club billicannas,Mzee Sumaye mashamba na TL kushambuliwa kwa risas.Sasa yaleyale ambaye washabiki wa CCM walikuwa wanayatoa kwa kebehi ndy huo tunasema usuguano lakni waweza kurekebishwa kwa kuwa ujumbe umeshafika kuanzia kwenye kukamatwa kwa ndege yetu kule bondeni.
Twapazwa kuishi kama ndugu na kushirikiana kama jamii moja kwa maendeleo ya nchi yetu ya Tanzania na siyo kwa maendeleo ya CHADEMA ,CCM,CUF,ACT etc
 
kwel watu wengine hawafikilii mbali mbali akili zao ni nyepesi za kufukilia dadika mbili tu, tujifunze kwa mataifa mengine jaman.
 
Duuh!!!

So ndio ataenda kwenye huo "Mualiko"?

Sisi tunamtakia mualiko mwema angalau akaoshe oshe macho huko Ulaya.
 
siamini kama huu uzi una page 144 ... it is a go get trial to the oom Mzee punch
 
Kabla ya kumtoa mmoja kafara mtoe Taarifa ya kukanusha hayo yanayosemwa kuhusu raisi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…