Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
Unafiki...unafiki...unafiki
Kila mtu atavuna alichopanda
Alipigwa risasi mtu dodoma alafu namsikia mtu juzi anadai jimbo lilitelekezwa wakati mwenzie kakaa karibia miaka miwili kitandani anatetea uhai wake mwili umechakazwa kwa risasi mpaka kawa kilema...mungu atatenda haki tu siku moja ngoja tusubiri
 
Kinachonisikitisha ni jinsi serikali inaposhindwa kuutaarifu umma kinachoendelea ni hatari...
 
Mi nadhani kwa yalipompata ni "Wake up call" (kama kweli anaumwa )

Akirudi atakuwa mtu bora zaidi .

Kama ataendelea kuwa yule yule tuliyemzoea duuuh sijui tusemeje!!!?
 
Umeongea kweli
 
Na wewe umejiona mjanja mwenyewe ulivyokuja na hii thread
 
Pumbavu!
 
Dah Mungu amponye na arejee kwenye majukumu.

Let it not be.

Gerson tunasubiri utuambie Rais anendelea vizuri..come on guy.
Cha msingi tuombe tu mungu atende haki...kila mtu apate malipo yake hapahapa duniani...kuna watu hawana roho ya huruma kabisa...alipigwa mbunge risasi dodoma mchana kweupe miaka miwili kalala kitandani anapambania uhai juzi namsikia mtu anasema eti huyo mbunge alitelekeza jimbo anajifanya kabisa kuwa hamjui...MUNGU BABA TUNAOMBA ATENDE TU HAKI WATU WOTE TULIPWE HAPAHAPA DUNIANI
 
I thing ki usalama kuna sababu muhimu. Mfano katka nch yeyote kifo cha ghafla cha president hakiwezi kutangazwaa kwa jamii hapo hapo. Kunataratibu za kudesignate uongozi. Kuna watu hutumia muda huo kufanya maoinduzi.
 
Hata hapa ipo na ishafika ni vile tuu watu hawajapata vitendea kazi na vile vijana mtaani wapo kibao wanaozijua hizo silaha ndo serikali itakoma bomu inalofuga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…