Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nikupe gari, mshahara halafu umtangaze mpinzani mshindi! (habagui vyama, dini, kabila)
2183562_IMG_20191015_164248.png
 
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
Unafiki...unafiki...unafiki
Kila mtu atavuna alichopanda
Alipigwa risasi mtu dodoma alafu namsikia mtu juzi anadai jimbo lilitelekezwa wakati mwenzie kakaa karibia miaka miwili kitandani anatetea uhai wake mwili umechakazwa kwa risasi mpaka kawa kilema...mungu atatenda haki tu siku moja ngoja tusubiri
 
Kinachonisikitisha ni jinsi serikali inaposhindwa kuutaarifu umma kinachoendelea ni hatari...
 
Hata kama angekuwa mzima, huo mwaliko asingeenda.

Miaka 5 inakata hajawahi kwenda nje ya Bara la Afrika.

Leo nii kiberiti kimetingishwa, eti unasema alikuwa ana dhamira ya kukwea pipa hadi kwa mabeberu...

Ajitahidi kupata somo kulingana na hiyo misukosuko aliyoipata na aimarishe nafsi yake
Mi nadhani kwa yalipompata ni "Wake up call" (kama kweli anaumwa )

Akirudi atakuwa mtu bora zaidi .

Kama ataendelea kuwa yule yule tuliyemzoea duuuh sijui tusemeje!!!?
 
Watumishi wa umma hakuna nyongeza ya mishahara miaka 4 sasa. Bodi ya mikopo tumeongezewa makato toka asilimia 8 mpka 15. Nyongeza ya mishahara ya kila mwaka imefutwa. Hakuna kupanda vyeo.Kutukana watumishi wa umma hadharani sasa kumekithiri. Wafanya biashara wanabambikiwa kodi. Watu wanapotea na kuwekwa ktk viroba. Siasa haifanyiki tena ni wew pke ako uonekane.
Korosho zetu tumepolwa.
Hata mimi ningekuwa Mungu aah hapana ningesikiliza kilio cha Mtu Mnyonge. Maandiko yapo wazi tuu. Biblia inasema siku zao watu watendao Mabaya zitafupishwa. Na Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo.
Umeongea kweli
 
Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.

Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.

Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?

Nchi ipo salama kabisaa
Pumbavu!
 
Dah Mungu amponye na arejee kwenye majukumu.

Let it not be.

Gerson tunasubiri utuambie Rais anendelea vizuri..come on guy.
Cha msingi tuombe tu mungu atende haki...kila mtu apate malipo yake hapahapa duniani...kuna watu hawana roho ya huruma kabisa...alipigwa mbunge risasi dodoma mchana kweupe miaka miwili kalala kitandani anapambania uhai juzi namsikia mtu anasema eti huyo mbunge alitelekeza jimbo anajifanya kabisa kuwa hamjui...MUNGU BABA TUNAOMBA ATENDE TU HAKI WATU WOTE TULIPWE HAPAHAPA DUNIANI
 
Nadhani ni mwendo wa sisi raia kutayarishwa kisakolojia.
Mwanzoni tuliaminishwa kwamba hakuna lililotokea na kwamba Raisi wetu yupo ofisini kama kawaida yake anatengua na kuchagua!
Sasa wameanza kutuaminisha kwamba ni kweli ameumwa na labda yuko kwenye hatua za kupatiwa huduma ya matibabu na labda ni kweli nje ya nchi!
Hatua itakayoufuata ni kujulishwa kwamba Mheshimiwa wetu ame... na hivyo mambo mengine yatafuatia baadae.
Kwa kumalizia tuwaombe tu waungwana kwamba sisi watanzania sasa tumekuwa wakubwa, sisi ni watu wazima sasa na si wajinga kihivyo mnavyotufikiria! haina haja ya kutupeleka hatua moja moja, I mean for God sake we can handle this!
I thing ki usalama kuna sababu muhimu. Mfano katka nch yeyote kifo cha ghafla cha president hakiwezi kutangazwaa kwa jamii hapo hapo. Kunataratibu za kudesignate uongozi. Kuna watu hutumia muda huo kufanya maoinduzi.
 
Mnaosema nchi ina chuki,hivi chuki mnayosema itakapofika nadhani watu tutaftana,nadhani mnaotamka kuhusu chuki,mnaitaka,kwani mlinenalo ndilo mnalopewa.

Chuki zipo nchi za Somalia,DRC Congo,Libya na nyinginezo ambazo kila kukicha kunasikika milio ya risasi na mabomu,hivyo raia hawawezi hata kupata usingizi.

Wewe ambaye unauhakika wakulala bila wasiwasi,ukaenda mahali popote ukarudi nyumbani usiku wa manane kwa usalama kabisa bado unasema nchi ina chuki kweli umefikiri sawasawa?

Nchi ipo salama kabisaa
Hata hapa ipo na ishafika ni vile tuu watu hawajapata vitendea kazi na vile vijana mtaani wapo kibao wanaozijua hizo silaha ndo serikali itakoma bomu inalofuga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom