Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Najaribu kuwaza, malaika akimtokea na kumwambia ili kikombe hiki kisikupitie unapewa dakika 10 kumrudishia ubunge yule jamaa na kumwita nyumbani pia watumishi wa vyeti fake walipe stahili zao.
Nini kitatokea ndani ya dakika hizo 10?
Unajua ye ni kiongozi wa malaika
Au unajichetua hujui?

Alisema ye akienda mbinguni Mungu atampa kazi ya kuongoza malaika wengine
 
Hii kitu hakitatokea Africa..Africa kuwa kiongozi ni lazimwa tu uogopewe na wenyewe wameshakariri hivyo..(nje ya mada)
 
Kuuwa watu, kuteka,kutuibia hela zetu n.k unadhani kuna mtu atakupenda? Bola afe tu mtu huyo
 
Tusimlaumu Pogba kwa kauli zake chafu. Tuwalaumu waliomlea kwa kumfanya hakose mapenzi ya kiutu kwa binadamu wenzake.
 
Amina ila kuna sehemu kidogo naomba nikukumbushe wakati Nyerere analema atamuona raisi ajae kuna neno alilitanguliza kwa kusema sasa naizihaki dunia na ninawazihaki walimwengu Mimi nitamuona raisi ajae. Kwa msemo huu nilielewa kuwa alikusudia kuleta tu utani haikupaswa kunukuliwa. Ama hayo hayo mengine ndoto yake ni kupewa kipande cha kuwatawala malaika huko mbinguni hivyo ikimpendeza mungu mwache akayafanye Yale mazuri aliyitufanyia sisi nao wakayapate kwani waswahili husema kizuri kula na nduguzo.
 
Nakubaliana na maoni yako kabisa... Rais ameishafanya makubwa sana na malengo na maono yake tayari yako bayana hivyo apunguze kasi kwa asilimia kama 20 hivi,... aanze kufaidi matunda ya urais, aanze kutumia nafasi za mialiko anayopewa kwa sababu usafiri anao, vifungu vya taasisi yake vipo... Kifupi awe mbinafsi na aanze kula bata!!!.... Hii habari ya siasa kwa watu wasiotaka kubadilika awaachie kina Zitto Mbowe na kundi lake...Ale nchi tu!......
 
Ni maoni yako ndugu japo naweza kusema ni ya kipumbavuuuuu! Una furaha?? Upumbuvu uliokithiri
Sasa mkuu mimi kua nafuraha ni upumbafuu wajameni? Hv huyaoni maajabu ya kishindo ya awamu ya tano yale yaliyoshindwa kufanyika miaka 30 lkn leo yamefanyika ndan ya 4 yrs unanionea bure mkuu tuendelee kunywa mtori mkuu
 
Tusimlaumu Pogba kwa kauli zake chafu. Tuwalaumu waliomlea kwa kumfanya hakose mapenzi ya kiutu kwa binadamu wenzake.
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…