Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kwa ugali wa mahindi na michicha pori hakuna kijana wa kujua hilo mkuu [emoji52][emoji52]
Ni majaliwa yake Mungu Baba kuuona mwaka!

Nimejikuta nawasikiliza Sikinde Ngoma ya Ukae... dah vijana wa siku hizi sidhani kama wanawafahamu akina Bichuka na Rehani
 
Nawewe mbona unawaombea mabaya wenzio.

Yamkini ndio nyinyi mnafurahia wenzetu kupivwa risasi za moto mchana kweupe
Hakuna anaye furahia hicho kitu lakini
Sikh zote ata tulipokuwa while mwalimu mkali alichukiwa sana na wanafunzi jeshini pia vivo hivyo soja mnaa hapendwi na wenzake rais wetu anatuludisha kwenye misingi bora lakini nyie kutwa kumuombea mabaya nasema mshindwe kwa jina LA yesu na mnayo muombea yampate yatawakuta nyie
Nakupenda Tanzania yangu
Mungu mbariki raisi wetu atomize majukumu yake kwa weledi
Na umpe afya njema
AMINA.
 

Ujumbe huu uwafikie wale woke watakaohusika na zile shilingi Bilioni 90 mlizopewa kujenga barabara kule Kigamboni!! Msisahau kuweka pia barabara za wapita kwa miguu pembeni mwa barbara kuu na mitaro ya kukusanyia maji. Chonde chonde msifanye pupa mkajenga barabara substandard kukimbilia kupata mgao wa uchaguzi 2020!
 
Controversial
 
Sasa docs zinazo mhusu ruge kwa mfano zinawezaje kumsababishia kihoro mkuu? Wakat kuna hardcopy, kuna vinasa sauti kuna vinasa picha na video vyote hivyo vimetunza hizo nyaraka
 
Kigogo anashida pahala, najua mkuu kaumiza wengi lakini kawatia neema na baraka walio wengi pia. Kwa mema aliyoyatenda Mungu ayachukue hayo na amjalie afya njema. Mengine tunasamehe na kusonga mbele.

Kama ni kweli anaumwa, naomba Mungu mkuu muumba wa vitu vyote amponye na watanzania waliowengi wazidi kumuombea kheri na afya iliyotulivu.
 
Kwamba kiongozi hakubaliki na wengi? Hii pumba umeitoa wapi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…