Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Hapo ndo nimefunguka kidogo mkuu. Nikirejea nafunguka kikubwa, mamlaka zinafanya kazi kuhakikisha usalama unakuwepo. Mvua hizi si nzuri kwa walio wengi ingawa wengine (ambao ni wengi pia) inaonekana ni baraka kwao
Mhhh.... ngoja nitege sikio vyema
 
NASIKIA ZA CHINI YA KAPETI KUNA NTUUU.... KACHOMOA NYAYA ZA BETRI KUU[emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]
Wahenga walisema dua ya kuku haimpati mwewe. Sio maneno yangu nilikua ktk kumbukizi tu
 
Paskal Mayala, njoo uwahusie hawa vijana, husijitenge na huu uzi japo ni wa kiswahili.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwani huku mtandaoni ndiyo watanzania wote walipo? Huku wamejaa wabeba mabox na mawakala.wa mafisadi!!
Halafu kinachonishangaza kuna kundi lile la mapambio ni kama halipo kabisa leo angalau kuongea chochote

NB: Bado nasimama pale pale, ningekuwa moderator huu uzi ningesha udelete kwa manufaa ya umma
 
Jamiiforums imepoteza ubora wake kabisa. Kimekuwa kichaka cha watu wenye roho mbaya roho za kutu.
U great thinkers ule wa miaka ya 2011 hakuna tena. Ni majungu tu na mipasho.

Moderators na mmiliki wa jamiiforums jiangalieni. Mnachochea chuki kuliko kujenga.
Hii si habari ya kufurahisha hata kidogo pamoja na madhaifu mengi ya Meko ila si kumuombea afe hata kidogo.
Lakin na wewe Mkuu
Upo sawa kweli au umevurugwa?
Unaanzaje kuwa blame JF's
Basi kaanzeni kuwazuia huko Twita na insta
 
Ila wabongo mna roho ngumu, mnataka Rais wa aina gani zaidi? JPM ni jembe, linalima kwelikweli.. Tulitaka Rais kama JPM anayeweza kumwajibisha mtu yeyote.. Mungu katuletea JPM lakn bdo mnaleta uchuro wenu, mtakufa ninyi, yey atadunda na nchi itanyooka.. Mshndwe ktk jina la Yesu aliye hai.
 
Tumekumbuka misri kwenye nyama na asali. Kaanan tunawaachia karebo na mwenzake joshua
 
Halafu kinachonishangaza kuna kundi lile la mapambio ni kama halipo kabisa leo angalau kuongea chochote

NB: Bado nasimama pale pale, ningekuwa moderator huu uzi ningesha udelete kwa manufaa ya umma
Ile team imepotea ghafla ila akiongea tu watarudi haraka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom