Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Funga kabisa kwa ajili ya maombi,naona wewe utakuwa na mkataba na mwenyezi Mungu,utaishi milele jinga kabisa wewe
Nyie mwombeeni aishi, siye tuache tunaomuombea aondoke. Mwisho wa siku tutaona mshindi wala msi panick.
 
Hawa wanaosema fulani muuaji,ana roho mbaya blah blah blah, kwenye thread kama hizi ndio unajua wao ndio Wana roho mbaya na wauaji sema hawana nafasi tu.
Hapana, mauaji makubwa yamefanyika awamu hii!
 
Vyovyote itakavyokuwa lazima mama anahusika. Ni samia? Wote hatujui hebu fuatana nami kufuatilia 'senema' hii hadi mwisho. Tafadhali usihame kitini kwako na ikiwezekana usihamishe chaneli kutoka kwenye kuibiwa kompyuta hadi kwingine. Tumalizie igizo hili hadi mwisho.

Nakutakia uangalizi mwema kabisa.
Kasome katiba, nani Anaandika kijiti
 
Huyu Mzee kila akienda Mtwara lazima apotee kama siku moja au mbili..

Sijui huwa ana mganga wake huko au vipi. Ila suala la kufa ni uzushi tu.

Nakumbuka kwenye kampeni zake alivyoingia Masasi akapotea siku nzima kesho yake hakusikika. Alivyoenda kufungua barabara na kutuliza wakulima wa korosho hivyohivyo alivyofika Masasi akapotea siku nzima. Na juzi hivyohivyo kapotelea Masasi.. Si bure anapikwa kwa fundi wake..
Duh!! Wewe!
 
CDM, siyo wachaga! CDM si wachaga, usipotoshe! CDM ni ya watanzania wote,ingelikuwa siyo Jiwe kuvunja katiba kwa kuzuia mikutano, ungelijua kuwa CDM ni ya wote!
Sasa kwanini watu wanadhani wewe ni mchaga ilhali we ni mmatumbi?!
 
Bahati mbaya there is nothing you can do. Keep hating what you can't conquer
Na Mungu anamuumbua tu kutuonyesha ubovu wake. Hii ni mara ya 4 anaanguka. Alianguka Ngerengere mwaka 2016 mara 1 na Ikulu mara 2 mwaka 2015 hii ilikuwa kali na bado.

Mpaka wale vidomo domo akina Mkamia wanaosema aongezewe muda wa kutawala waone haya. Utamuongezeaje muda spanner mkononi? Kwani hii ni Gabon inayoongizwa na mtu mwenye stroke (kiharusi)
 
Basi naomba nitumie muda huu kwakweli kujaribu kuweka hii kitu katika namna ambayo kusema kweli utakua ni sahii maana kwakweli ndo hivyo. Sote tujue kua kwakweli ndo hivyo maana ata kama ilikua katika jinsi ilivyo basi ndo hivyo..
Tuzidi tu kusema kua wote ata wale nao kua basi kila jambo ni sawa
 
Mh. ni mzima hana shida yoyote tatizo ni hii habari za umbea zinazotawala humu kumhusu Mh, zinatia hasira sana. Huwezi kumuombea/kumtabiria mtu kifo wakati bado ni mzima.

Hili suala moderators kuacha habari kama hizi zinazomchafua kiongozi wa nchi kuna uwalakini ndani yake.

Katika ujenzi wa barabara iwe ya lami au kokoto basi ni lazima uweke mtaro au mfereji ambao utakuwa unakusanya maji na kuyapeleka mbali na barabara na kama hutafanya hivyo basi kuna water seepage itatokea na utake usitake itabomoa barabara yako hata kama umeijenga kwa mawe na lami
 
Na Mungu anamuumbua tu kutuonyesha ubovu wake. Hii ni mara ya 4 anaanguka. Alianguka Ngerengere mwaka 2016 mara 1 na Ikulu mara 2 mwaka 2015 hii ilikuwa kali na bado.

Mpaka wale vidomo domo akina Mkamia wanaosema aongezewe muda wa kutawala waone haya. Utamuongezeaje muda spanner mkononi? Kwani hii ni Gabon inayoongizwa na mtu mwenye stroke (kiharusi)
Pole sana. Kuwa makini chuki inaleta magonjwa yasiyoambukiza
 
Ukianzia wewe kabla ya yeye?
Hamna shida mbona mimi nilisha kufa tayari kwa haya maisha ya Jiwe? Ila yeye anayesema hakuna mtu wa kumalizia miradi ya SGR na Stigler na ndege ndiyo Mungu anamuonyesha alama za nyakati. Mungu hadhihakiwi na mumwambie asirudie ujinga wa kujifanya eti yeye ni bora kuliko Watanzania wengine pamoja na marais wastaafu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom