CDM, siyo wachaga! CDM si wachaga, usipotoshe! CDM ni ya watanzania wote,ingelikuwa siyo Jiwe kuvunja katiba kwa kuzuia mikutano, ungelijua kuwa CDM ni ya wote!Kwahiyo UKO na wachaga katika......!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM, siyo wachaga! CDM si wachaga, usipotoshe! CDM ni ya watanzania wote,ingelikuwa siyo Jiwe kuvunja katiba kwa kuzuia mikutano, ungelijua kuwa CDM ni ya wote!Kwahiyo UKO na wachaga katika......!
Mungu ampe afya njema.Dr Salim Ahemed Salim anaumwa ila tunashukuru anaendelea vizuri Mungu anabariki.
Nyie mwombeeni aishi, siye tuache tunaomuombea aondoke. Mwisho wa siku tutaona mshindi wala msi panick.
Hapana, mauaji makubwa yamefanyika awamu hii!Hawa wanaosema fulani muuaji,ana roho mbaya blah blah blah, kwenye thread kama hizi ndio unajua wao ndio Wana roho mbaya na wauaji sema hawana nafasi tu.
Kwa kweli hatumpendi, na mumuambie kabisa kwamba siku amerudisha faili kwa God tunakesha tunakunywa.
Nimesema hivi.....wale wanaosema fulani muuaji,ana roho mbaya....kwenye thread kama hizi ndio utajua wao wana roho mbaya na wauaji ila hawana nafasi tuHapana, mauaji makubwa yamefanyika awamu hii!
Kasome katiba, nani Anaandika kijitiVyovyote itakavyokuwa lazima mama anahusika. Ni samia? Wote hatujui hebu fuatana nami kufuatilia 'senema' hii hadi mwisho. Tafadhali usihame kitini kwako na ikiwezekana usihamishe chaneli kutoka kwenye kuibiwa kompyuta hadi kwingine. Tumalizie igizo hili hadi mwisho.
Nakutakia uangalizi mwema kabisa.
Duh!! Wewe!Huyu Mzee kila akienda Mtwara lazima apotee kama siku moja au mbili..
Sijui huwa ana mganga wake huko au vipi. Ila suala la kufa ni uzushi tu.
Nakumbuka kwenye kampeni zake alivyoingia Masasi akapotea siku nzima kesho yake hakusikika. Alivyoenda kufungua barabara na kutuliza wakulima wa korosho hivyohivyo alivyofika Masasi akapotea siku nzima. Na juzi hivyohivyo kapotelea Masasi.. Si bure anapikwa kwa fundi wake..
hee eeeh kwani ilikua je kuna mahusiano na kuibiwa Computer au ndo wamekamatwaLeo nimeshtuka hakuna Live pale ikulu mawasiliano You tube.Get well soon Mr president.
Sasa kwanini watu wanadhani wewe ni mchaga ilhali we ni mmatumbi?!CDM, siyo wachaga! CDM si wachaga, usipotoshe! CDM ni ya watanzania wote,ingelikuwa siyo Jiwe kuvunja katiba kwa kuzuia mikutano, ungelijua kuwa CDM ni ya wote!
Na Mungu anamuumbua tu kutuonyesha ubovu wake. Hii ni mara ya 4 anaanguka. Alianguka Ngerengere mwaka 2016 mara 1 na Ikulu mara 2 mwaka 2015 hii ilikuwa kali na bado.Bahati mbaya there is nothing you can do. Keep hating what you can't conquer
Hahahaaa.......!MaCCM dhambi ya ukabila inawatafuna wenyewe.
Mh. ni mzima hana shida yoyote tatizo ni hii habari za umbea zinazotawala humu kumhusu Mh, zinatia hasira sana. Huwezi kumuombea/kumtabiria mtu kifo wakati bado ni mzima.
Hili suala moderators kuacha habari kama hizi zinazomchafua kiongozi wa nchi kuna uwalakini ndani yake.
Hahahaaa.......!MaCCM dhambi ya ukabila inawatafuna wenyewe.
Pole sana. Kuwa makini chuki inaleta magonjwa yasiyoambukizaNa Mungu anamuumbua tu kutuonyesha ubovu wake. Hii ni mara ya 4 anaanguka. Alianguka Ngerengere mwaka 2016 mara 1 na Ikulu mara 2 mwaka 2015 hii ilikuwa kali na bado.
Mpaka wale vidomo domo akina Mkamia wanaosema aongezewe muda wa kutawala waone haya. Utamuongezeaje muda spanner mkononi? Kwani hii ni Gabon inayoongizwa na mtu mwenye stroke (kiharusi)
Hamna shida mbona mimi nilisha kufa tayari kwa haya maisha ya Jiwe? Ila yeye anayesema hakuna mtu wa kumalizia miradi ya SGR na Stigler na ndege ndiyo Mungu anamuonyesha alama za nyakati. Mungu hadhihakiwi na mumwambie asirudie ujinga wa kujifanya eti yeye ni bora kuliko Watanzania wengine pamoja na marais wastaafu.Ukianzia wewe kabla ya yeye?