Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Hakuna habari yoyote itakayofuatia, everything is fine...

Hizi tetesi zitapita na mwaka utaisha salama salimini..
 
Kwa kuwa mzigo haukuingizwa GePG, makusudi ili wagawane na wasiojulikana, huenda wajanja kuwazidi wale washamba wameukomba pamoja na computa zao?? Kwa hiyo huko ni vilio na pressure,
Namkumbuka prof. jay aliimba. nanukuu
" aliyeuza cheni bandia kapewa hela bandia ngoma droo"
 
Mh. ni mzima hana shida yoyote tatizo ni hii habari za umbea zinazotawala humu kumhusu Mh, zinatia hasira sana. Huwezi kumuombea/kumtabiria mtu kifo wakati bado ni mzima.

Hili suala moderators kuacha habari kama hizi zinazomchafua kiongozi wa nchi kuna uwalakini ndani yake.
People hate what they can't conquer! They should blame God.
 
Halafu huwa nakushangaa sana unaposhabikia hivi vitu ili hali unajulikana fika na kila mmoja humu ndani, Mkuu wakati mwingine jitahidi sana kujifikiria mara mbili pale kwenye nyuzi zenye utata kama huu.
Huyu amebakiza kuuwa kwa vitendo. Hilo la nia tayari tunahesabia siku za kutimiza hiyo nia.
 
Huyu hatuwezi kumuombea ana roho ya kishetani. Watanzania hatuko kama yeye, huyu ni Mnyarwanda, hao ndiyo wana roho za kuua ua tu. Kumbuka alivyompoteza Ben Sanane, kumbuka na risasi 16 kwenye mwili wa Tundu Lissu.

Hata akichomoka hii, hana muda mrefu ata saundisha tu. Wanaoishi na pacemaker,mwili una dhoofu kadri umri unavyokwenda. Itafika mahali kinakataa.
Bahati mbaya there is nothing you can do. Keep hating what you can't conquer
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom