Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kifaa cha kusaidia moyo kufanya kazi??? Kwani moyo wake ni artificial?
 
Kuwa Mkuu wa nchi hakuna atakayekupenda.. Hata JK tunayemlilia sasa alichukiwa wakati wake..

Hata JPM akitoka kwenye hatamu atakumbukwa kwa mazuri atakayotuachia..

Wewe ndio unamlilia Mkwere; sisi wengine hatutaki hata kusikia jina lake na ufisadi wake!!! Kufa ni faradhi na hakuna binaadam atakayeepuka kifo; kama kikija kwa yeyote na kije lakini tunamuomba MOLA amuepushe kwa sasa na matatizo yoyote yanayomsibu huyu kiongozi wetu.
 
Kwa hivyo huwezi kunyamaza huwa unasemea wapi?

Yani mtu umejifungia chumbani na tecno yako alafu unasema hutanyamaza?
 
Sema kuna watu wana uchuro sana.
 
Kwani kufa ni ubaya? Huendi mbinguni bila kufa. Kifo sio kibaya.
Posts nyingi humu zinasikitisha sana sana.. inaonyesha hii nchi yetu ina watu wa namna gani.

Mwenyezi Mungu yupo, namsalia mabaya yoyote mnayomuombea yasimpate.
 
Ni majaliwa yake Mungu Baba kuuona mwaka!

Nimejikuta nawasikiliza Sikinde Ngoma ya Ukae... dah vijana wa siku hizi sidhani kama wanawafahamu akina Bichuka na Rehani
Posts nyingi humu zinasikitisha sana sana.. inaonyesha hii nchi yetu ina watu wa namna gani.

Mwenyezi Mungu yupo, namsalia mabaya yoyote mnayomuombea yasimpate.

Tundu Lisu pia mtu

Wewe unaongeaga ujinga sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…