Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Just nonsense. Wanachosema hawa ni kupiga ramli tu. Hawana cha maana. Wanadai kuwa kifaa cha kusaidia moyo kufanya kazi bwana mkubwa kimezima, so he is no longer able to function as President so VP ndio anachukua duties. Its nonsense because pacemaker ni kifaa kinachochekiwa mara kwa mara and at the level of president his safety is top priority. Kama wanawish atoke in power, they have to wish for other ways sio hizi.
Kifaa cha kusaidia moyo kufanya kazi??? Kwani moyo wake ni artificial?
 
Kuwa Mkuu wa nchi hakuna atakayekupenda.. Hata JK tunayemlilia sasa alichukiwa wakati wake..

Hata JPM akitoka kwenye hatamu atakumbukwa kwa mazuri atakayotuachia..

Wewe ndio unamlilia Mkwere; sisi wengine hatutaki hata kusikia jina lake na ufisadi wake!!! Kufa ni faradhi na hakuna binaadam atakayeepuka kifo; kama kikija kwa yeyote na kije lakini tunamuomba MOLA amuepushe kwa sasa na matatizo yoyote yanayomsibu huyu kiongozi wetu.
 
Mhh!!!
IMG_20191018_220329.jpeg
 
Kwani mimi nikifa utapata faida gani wewe. Mimi niko tayari kufa nakutetea uhuru wa kujieleza na demokrasia Tanzania. Nchi yetu nzuri tulikuwa tunaishi kwa upendo ila hili Jiwe kutoka Rwanda linaivuruga kila siku.

Nyinyi ambao mumeamua kukaa kimya endeleeni kukaa kimya. Ila sisi wengine tutapaza sauti kwa kila namna mpaka aache huo UDIKTETA wake. Na hatuwezi kutunyamazisha.
Kwa hivyo huwezi kunyamaza huwa unasemea wapi?

Yani mtu umejifungia chumbani na tecno yako alafu unasema hutanyamaza?
 
Kwani kufa ni ubaya? Huendi mbinguni bila kufa. Kifo sio kibaya.
Posts nyingi humu zinasikitisha sana sana.. inaonyesha hii nchi yetu ina watu wa namna gani.

Mwenyezi Mungu yupo, namsalia mabaya yoyote mnayomuombea yasimpate.
 
Ni majaliwa yake Mungu Baba kuuona mwaka!

Nimejikuta nawasikiliza Sikinde Ngoma ya Ukae... dah vijana wa siku hizi sidhani kama wanawafahamu akina Bichuka na Rehani
Posts nyingi humu zinasikitisha sana sana.. inaonyesha hii nchi yetu ina watu wa namna gani.

Mwenyezi Mungu yupo, namsalia mabaya yoyote mnayomuombea yasimpate.

Tundu Lisu pia mtu

Wewe unaongeaga ujinga sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom