Hadharani maana yake nini!!!!Wenye roho mbaya wamezuia wema wasiongee hadharani
Haya ndio matokeo ya kuendekeza roho mbaya.
Ipo siku hasira za wanachi zitafika rank ya juu kabisa na kuchemka.
Mkuu unazidi kunipotezaPacemaker!
Na ndio pia yalihamasishana eti yasiende kujiandikisha! Ni majinga sana hayaHawa wanaomuombea mabaya Rais ni wachache na wanahesabika ,usitishwe na mitandao , hawa hawa ndio hata kwenye kura hawapigi
Mti wenye matunda...kushabikia uvumi huu ni kukosa utu, mnashindwa kabisa kuyaona mema yakeView attachment 1237412
Nimejifungia nyumbani na techno lakini ujumbe umekufikia. Unataka nisemee barabarani unikamate uniue kama mulivyowaua akina BenSanane na Azory Gwanda?Kwa hivyo huwezi kunyamaza huwa unasemea wapi?
Yani mtu umejifungia chumbani na tecno yako alafu unasema hutanyamaza?
Tundu Lisu pia mtu
Wewe unaongeaga ujinga sana
Live long Mr President ....get well soon ! Tunakuombea mh Raisi [emoji120][emoji120]
Wakuu sio vizuri kumuombea mtu kifo, hakuna atakeishi milele
Just google Pacemaker. Utapata mantiki nzima ya hizi habari za kitoto zinazoelezwa.Mkuu unazidi kunipoteza
Na siku zote hauwezi kumlidhisha kila mwanadamu
Ana mazuri Mengi sana amefanya kwa Tanzania, sasa hivi Nchi imekua na adabu Watanzania wote ni sawa hakuna zile habari za unanijua mimi ni nani
Get well soon mh Raisi
hajanijibu
kwani anatumia hichi kifaa?Just google Pacemaker. Utapata mantiki nzima ya hizi habari za kitoto zinazoelezwa.
Ningekuwa mwanza lazima ningekutafuta victoire. Inaonekana una vitu vingi sana kuhusu nchi hiiNothing,all is well.
Unaleta za kufahamiana we niaje aiseeAfu wewe ndg nadhani ninakufahamu
Hata recorded?Sijamsikia Jiwe leo siku nzima.