Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Huenda wanafanya utafiti, naona watu wengi mitandaoni wanaikaribisha hii hali kwa shangwe.
 
Wenye roho mbaya wamezuia wema wasiongee hadharani

Haya ndio matokeo ya kuendekeza roho mbaya.

Ipo siku hasira za wanachi zitafika rank ya juu kabisa na kuchemka.
Hadharani maana yake nini!!!!

Mnavyo harisha humi jf mnataka mkapige brah brah wapi tena mridhike.
 
Kwa hivyo huwezi kunyamaza huwa unasemea wapi?

Yani mtu umejifungia chumbani na tecno yako alafu unasema hutanyamaza?
Nimejifungia nyumbani na techno lakini ujumbe umekufikia. Unataka nisemee barabarani unikamate uniue kama mulivyowaua akina BenSanane na Azory Gwanda?
Unadharau fake ID wakati na mwenyewe unatumia fake ID.
 
Wanaccm ndiyo sawa walioko nje ya ccm siyo watu chini ya utawala huu
Na siku zote hauwezi kumlidhisha kila mwanadamu

Ana mazuri Mengi sana amefanya kwa Tanzania, sasa hivi Nchi imekua na adabu Watanzania wote ni sawa hakuna zile habari za unanijua mimi ni nani

Get well soon mh Raisi
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Kila kitu kinachotokea kina sababu zake. Nashangaa sana tunafanya mambo ya mzima na kufa ni kama adhabu ya wachache, wakati sisi sote njia yetu moja
 
Safari za nje zina faida zake,hadi madaktari wake wanaogopa kumueleza ukweli ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom