Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
What's the point! Kwamba wanaotaka apewe miaka 10 zaidi hawana hakika kama atakuwepo, hiyo 5 tuliyompa tulikuwa na hakika kama ataimaliza?!
There is such a thing as getting too carried away.

It is prudent to invoke the going concern, else we wouldn't get up from bed.

It is tempting fate to project the presidency of a pacemaker driven megalomaniac way beyond reasonable and constitutional limit.

As if that is not enough, any talk of extending the presidential terms or abolishing term limits will open a pandora's box of multitudes of other unpalatable constitutional changes, since it will be absurd to legitimize one constitutional change without regarding any other.

But that is for people who think logically.

Tanzania ceased to be a logical country some time ago.

So, I will understand any vitriol, be it under the veil and guise of patriotism, nationalism or any such label for cheap political expediency.
 
And this is what, English?
 
Hakuna lolote na kigogo wenu,Rais yu salama wa salimini anajipungia upepo wake!,baada ya jana msafara wake kupata tatizo wakati akitoka mitaa ya mtwara,kuna kanjia kalikuwa kamejaa maji hivyo ikalazimu msafara usimame kwa muda na taratibu za kumuondoa rais zifanyike,
DUA ZAKO MBAYA KIGOGO ZIKUFIKIE MWENYEWE.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…