Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kuna wahuni na baadhi ya wanasiasa tuliowaheshimu wameonesha kushangilia tetesi hizo! Tabia za kichawi kabisa hata kama huwangi usiku.

Rais wetu ametenda mambo makubwa na yenye manufaa kuliko madhaifu mnayomhukumu nayo na kumtakia mabaya.

Serikali itoe taarifa rasmi badala ya kuacha redio za mbao ziendelee kulisha jamii chuki na tabia mbaya kabisa kuombeana mabaya kwa matamanio binafsi.

Ukweli haupiganiwi bali unajipigania.
Uchawi mbona ulianza muda sanaa. Hukuwahi kung'amua hilo?.
 
Huku sio Nigeria mzee baba..Nigeria kuna separation kubwa baina ya raia ndani ya nchi sio wamoja wale na kuna watu hawamtambui Buhari kama ni raisi wao..ila sisi tumejengwa kwa misingi ya umoja na mshikamano bila kujali tofauti zetu za kidini na kikabila tuna haki ya kujua alipo raia namba moja ambaye bila yeye hakuna sisi maana tunamtegemea alisongeshe gurudumu
Si kweli aliondoka ticha na hatujateteleka nchi ni katiba sio mtu.Daladala haijawahi kosa abiria
 
Naishauri serikali ichukue hatua kwa wote wanaohusika na hii tabia.
Kuna wahuni na baadhi ya wanasiasa tuliowaheshimu wameonesha kushangilia tetesi hizo! Tabia za kichawi kabisa hata kama huwangi usiku.

Rais wetu ametenda mambo makubwa na yenye manufaa kuliko madhaifu mnayomhukumu nayo na kumtakia mabaya.

Serikali itoe taarifa rasmi badala ya kuacha redio za mbao ziendelee kulisha jamii chuki na tabia mbaya kabisa kuombeana mabaya kwa matamanio binafsi.

Ukweli haupiganiwi bali unajipigania.
 
Wherever,usiishi kwa kumtegemea mtu.Gari alijawahi kosa Dereva lzm lifike mwisho Wa safari
Raisi lazima ategemewe ktk nchi iwe isiwe unajua gharama za kumchagua raisi mpya endapo litatokea la kutokea?(japo siombei)
 
Lisemwalo lipo
Heshima kwenu wakuu,

Kuna habari zinasambaa kwamba rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza Ziara huko kusini ili kushughulikia Maswala mengine ya Kitaifa. Hili sina tatizo nalo.

Kinacho niumiza na kunitatiza ni kuona Taasisi ya rais akiwemo Msemaji mkuu wa Ikulu na Msemaji wa Serikali kutokanusha au kuweka sawa habari hizi zinazo sambaa. Na kuacha watu waendelee kumsema Vibaya rais wetu. Ukiacha uongo ukaendelea kuongelewa unageuka kuwa kweli.

Rais sio mali ya Ikulu bali ni Mali ya Watanzania wote wa vyama vyote, dini zote, rangi zote na Makabila yote.

Msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa huwa ni mwepesi kukanusha na kutupa update za rais. Ajitafakari kwa hili kama vipi ajiuzulu tu. Kazi imemshinda ya kuwatumikia Watanzania.

Tunapata wakati mgumu kuelewa.

Kama anaumwa sio jambo la kushitua pia kwani Maradhi kwa binadamu ni kawaida, kama anaumwa ni haki wananchi wake wakajulishwa na maendeleo yake yakaelezwa kwa uwazi.

Tumefanya hivyo kwa Baba wa Taifa Nyerere, Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwa'ichi, Benjamin Mkapa, Kikwete alipoumwa Tezi dume akiwa rais na wengine wengi.

Kama yu mzima wa afya tujulishwe ili roho zetu zitulie.

Ni haki yetu kujua rais alipo na maendeleo yake sababu anaishi kwa kodi zetu na tulimchagua wenyewe. Ndo maana Televisheni ya Yaifa inamuonesha popote aendapo bure ili wananchi wajue anachofanya rais wao.

Hata kama kapumzika Ikulu, hakuna sababu ya kuzua taharuki.

Tunajua rais wetu anapenda mpira hasa timu ya Taifa, Janana timu yetu imeshinda hatunaona anapongeza na kushangilia kama kawaida yake.

Hata Msemaji wa Ikulu hajatuma picha akiangalia mpira wa watoto wake kama kawaida yao.

Tunamtaka rais wetu.

Asanteni sana
 
Kwa kweli tunataka tujue taarifa zilizopo mitandaoni zinaleta taharuki kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom