Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kuna msemaji wa ikulu
Ndiyo shida ya kumtegemea mtu mmoja kufanya maamuzi ya kila kitu.
Sasa mtu huyo mwenye kufanya maamuzi ndiyo huyo labda hajiwezi kwa sasa. Nani aseme?
 
Kuna wahuni na baadhi ya wanasiasa tuliowaheshimu wameonesha kushangilia tetesi hizo! Tabia za kichawi kabisa hata kama huwangi usiku.

Rais wetu ametenda mambo makubwa na yenye manufaa kuliko madhaifu mnayomhukumu nayo na kumtakia mabaya.

Serikali itoe taarifa rasmi badala ya kuacha redio za mbao ziendelee kulisha jamii chuki na tabia mbaya kabisa kuombeana mabaya kwa matamanio binafsi.

Ukweli haupiganiwi bali unajipigania.
Ni kweli mkuu!
Mi nimeona kule twitter,maria sarungi,zitto kabwe na account yake ya kigogo na hata yule mama fyatu karume woote wameshangilia uvumi ule ,
Lakini bi vema kumjua adui yako kabla.
 
Naishauri serikali ichukue hatua kwa wote wanaohusika na hii tabia.
Wakati mwingine si serikali tu, hawa watu ni marafiki, washirika, waumini, majirani zetu. Tukemeane kwenye ujinga kama tunavyolipuka viongozi wakikosea.

Wale waliokuwa wanalaani waliokuwa wakimbeza Lissu baada ya yale matatizo wengine ndio wanashangilia hizi tetesi na hata huoni wakikemea kama wanavyojinasibu kama watetezi wa haki. Tena wengine wanataka Urais! Shame!
 
Ni hatari sana tulipofikia kwa kweli.[emoji26]
Wakati mwingine si serikali tu, hawa watu ni marafiki, washirika, waumini, majirani zetu. Tukemeane kwenye ujinga kama tunavyolipuka viongozi wakikosea.

Wale waliokuwa wanalaani waliokuwa wakimbeza Lissu baada ya yale matatizo wengine ndio wanashangilia hizi tetesi na hata huoni wakikemea kama wanavyojinasibu kama watetezi wa haki. Tena wengine wanataka Urais! Shame!
 
Lakini Mkuu kuna sintofahamu na taharuki kwa sasa,kwa nn tusijuzwe tuelewe yu wapi Rais wetu,Kuna maneno mengi sana ya mafumba ambayo yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii tujuzwe tufahamu!
Chuma kipo dodoma kimetulia waodhani meli ya mgiriki itatia nanga watasubiri wao
 
Uzi utafutwa! we subiri..... wa Kigogo jana umezimwa... Not open for further replies.
ngoja wachangiaji waje waanze uchafuzi
 
Ni jambo jema wakatolea taarifa. Huu uvumi unanifanya nikose raha kabisa. Yaani hata sielewi kwa nini.
Kwanini ukose raha? Umeambiwa na mdau hapo juu, yupo Lindi anakula korosho au we upendi korosho
 
Wakati mwingine gharama ni bora kuliko hasara,hivi watu kama mugabe,mobutu,kamuzu banda,bokassa ,abacha ni faida hasara?
😂😂😂 unazungumziaje na huku Venezuela je Maduro akiondoka ni faida au hasara?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom