Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
eti kuugua kwa jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
Huu ndio uungwana
 
Unaona leo unawashwa umekosa wa kukukuna!!
Mkuu wakati mwingine ukimya pia ni jibu zuri, huyu bibi ana tatizo katika ubongo wake ni vyema ukajifunza kumpuuza.

Hili saga litaondoka na wengi sana.
 
Haya mambo ya kuombeana mabaya tuache, Mungu ndiyo anayejua afya ya mtu, Mungu ndiyo anaetupa afya. Mambo ya kuzushiana mabaya tuache ni hekima na ni busara kuheshimu afya za binadamu wezentu kila mtu anaweza kuugua.
Watu walimuombea mabaya ENL mwaka 2015; lakini hadi Leo mzee yupo, anadunda na anahudhuria sherehe mbalimbali za watoto na wajukuu. Baadhi ya waliomuombea mabaya wametangulia wao.
 
Bado hamjachoka kuteka?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…