James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,761
Ngoja tusubiri Breaking news kwanza mkuu.
Niko na Champaign hapa. Tuungane kwenye karamu hii pambee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko na Champaign hapa. Tuungane kwenye karamu hii pambee
Naona leo unawashwa umekosa wa kukukuna!!Jamani semeni ukweli, mficha ukweli aibu humuumbua.
umekomaa!!!..mtu kafanya uteuzi we umeshupalia tuMwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Wateule wanaapishwa lini?
Ewaaaa[emoji4][emoji4]Ngoja tusubiri Breaking news kwanza mkuu.
Huu ndio uungwanaZaidi ya alivyofanya kama Rais for about 4 yrs, amewahi pia kulitumikia Taifa katika capacity ya minister na deputy minister. He was a chemistry teacher also. He is a statesman. Tumuombee alone kama rumours zina ukweli.
Mkuu wakati mwingine ukimya pia ni jibu zuri, huyu bibi ana tatizo katika ubongo wake ni vyema ukajifunza kumpuuza.Unaona leo unawashwa umekosa wa kukukuna!!
ku...... MauMwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Watu walimuombea mabaya ENL mwaka 2015; lakini hadi Leo mzee yupo, anadunda na anahudhuria sherehe mbalimbali za watoto na wajukuu. Baadhi ya waliomuombea mabaya wametangulia wao.Haya mambo ya kuombeana mabaya tuache, Mungu ndiyo anayejua afya ya mtu, Mungu ndiyo anaetupa afya. Mambo ya kuzushiana mabaya tuache ni hekima na ni busara kuheshimu afya za binadamu wezentu kila mtu anaweza kuugua.
Jiwe yuko salama na ni mzima anadunda.
Na kama anaumwa, basi anaumwa kama binadamu wengine wote wanavyoumwa, si ugonjwa wala tatizo la kutisha mpaka kupelekea mtanzuko kati yetu.
Akipona, kama ataiona komenti yangu hii, wale wote waliokuwa wanafurahia na kumuombea hali yake kuwa iwe mbaya zaidi, napendekeza afanye mpango wa kuwafungulia mashitaka ya uhaini (itapendeza zaidi ikiwa watatekwa).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Mwanga wa milele umwangazie na pumziko analostahili umpatie eeh Mwenyezi Mungu
Tofauti na Lisu aliumishwaKwani kuumwa in dhambi? Mbona hata lissu aliumwa
Wameachiwa we uoni yule Wa milioni 7 kwa dakika akipiga selfMi nilidhani, mafisadi waliisha kamatwa wote?!
Ntafurahii balaaaa ntakula sisazi ht km bayaa