Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Acha kuombea wenzio mabaya kwa mgongo wa fasihi
Kumbuka naye ni mzazi na ana watoto na wajomba zake wanaomtegemea
Ushawahi fiwa kweli wewe dada? Utalia na kusaga meno
Kumbuka naye ni mzazi na ana watoto na wajomba zake wanaomtegemea
Ushawahi fiwa kweli wewe dada? Utalia na kusaga meno
Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..