Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Ikulu
Kiazi kweli.Japo na mapungufu yake ila kama ni kweli anaumwa namwomba Mungu amponeshe haraka
Kafika yupo ICU kaanza matibabu
Vipi;huko uliko hali inaendaje!
Heshimu Ganja kama huijui nyamazaHuyo sio mtanzania. Ni mvuta bangi tu anayeji mwambafy nyuma ya keyboard.
[emoji15][emoji44][emoji15][emoji44][emoji87][emoji851][emoji40][emoji40][emoji40]Tundu Lissu rudi nyumbani hali iko shwari sasa [emoji126][emoji1735]
Walitaka kumtanguliza lissu... Mungu akamuokoaAngalia ! Usije ukatangulia wewe
We Chakubanga wa CCM Acha upuuzi wako. Mafanikio yako wapi wakati maelfu ya vijana wako juu ya mawe!!? Acheni ghiliba bana.Ngoja tukae kimya , View attachment 1238657
.Tetesi za jamii forum ni za kuogopa kama ukoma. Mimi bado sielewi ni nini watu wanatabiri au wanatazamia nini huko mbeleni.
Timua vumbi timuaHeshimu Ganja kama huijui nyamaza
Punguza roho ya kichawi....Off topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Huyu jamaa hata mikutano ya kimataifa inayofanyika nyumbani kwake anataka kuwakilishwa, kweli sasa naelewa kwamba tuna matatizo makubwa na uongozi wa mtu huyu, tuwe makini 2020.