Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Tunahitaji watu wenye mioyo ya aina hii.
Hata mimi siafikiani nae baadhi ya mambo lakini sijahitimu bado kuwa na roho ya kufurahia tetesi.

Chuki, roho mbaya na husda zinamuumiza zaidi anaeamua kuzikumbatia.

Mungu Ibariki Tanzania, Wabariki viongozi wake wote!
 
Hajawai kusema atakuwa kanisa fulani. Ila kama unamuhitaji sana nenda ikulu.
 
Jiweke kwenye nafasi ya mhusika.

Umekaa mahali umetulia kuyasoma yote yanayoelekezwa kwako, kama haya yanayowekwa JF.

Je, yatakusaidia kujitafakari na kujaribu kufanya tofauti na vile ulivyokuwa ukifanya kabla?

'Obviously', si rahisi kubadili tabia, lakini unaweza kuweka juhudi kurekebisha mengine kwa utashi wa moyo.
 
Unao washangaa ni kina nani?
Kama kuna jambo lolote litamtokea Rais under no any circumstance hatuwezi kuwalaumu wapinzani! Watu wa kulaumiwa ni walio karibu na Rais i.e. CCM,PSU na JWTZ!
Nawashangaa kwa kumuombea mabaya binadamu mwenzio,hata kama unamchukia kiasi gani,lakn inapofkia kumuombea kifo,hapo utu unakuwa umekutoka....u become an animal or something far than that!
 
Hata akifa taifa haliwez kupata shida yoyote taifa lilikuepo hata kabla ya jpm. Jpm ni kitu kidogo sana kwa taifa wala ata msimkuze na umuhim wake kma upo ni mdogo sana kwa taifa hil yeyote anaweza chukua nafasi yake na taifa likasonga mbele tena linaweza kusonga vizur zaid ya yeye akiendelea. Labda kiubinadam tu sio vizur kumuombea kifo japo hata yeye amependa hata baadhi ya watu wanaomkosoa wafe ili yeye aweze kupata ustawi.
Simkubali kwa siasa za kibabe na kuonea upinzani ila yeye Kama amiri jeshi mkuu namkubali kwa ustawi wa taifa akiyumba tutayumba
 
Ndiyo Mkuu
 
kumpiga risasi tundu lissu na kuteka watu hiyo ni roho gani?? kufaa to magufuli kufaaa haiwezekani tuishi maisha ya ajabu kwasababu ya mpumbavu mmoja tu kufaaaa jiwe,afe tu

Ni maamuzi mkuu. Mtazamo wangu binafsi sioni sababu ya kuwa na roho mbaya.

Una haki ya kuamua chochote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…