Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
.wakati tumenawa mikono tukisubiri huo ubwabwa ambao tumeambiwa tu upo.kule jikoni kuna mafundi wanajenga.yaani hamna dalili kama kumepikwa kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kula Gwala mkuu.[emoji1679][emoji1679][emoji1679]
 
Umenikumbusha huu wimbo.
UMEUZA USINGIZI
UMEINUNUA KESHA
HUIPATI NYOTA YANGU.
( KISIKI CHA MPINGO)
 
Di[emoji38][emoji38][emoji38]
 
YESU KRISTO alipoona wamama wanalia kwa sababu yak,aliwasihi wajililie wao na watoto wao.

Wanafunzi wake walipolala alipowasihi wasali,alihuzunika sana maana alijua mtihani uliopo mbele yao.

Leo hii mtu huyu anapopata bahati ya kuyasoma haya,ataangalia tu saa yake,kisha kinyooonge huku akitikisa kichwa akijisemamea moyoni,siku isiyo na jina watanikumbuka hawa.saa hii ni kama wananiona mwendawazimu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…