Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kwani haiwezekani labda akawa aliacha Maagizo Siku hata Tatu kabla kuwa hilo Tangazo litolewe leo Ndugu?
Kurugenz ya mawasiliano haiko smart maana watu wako katika hali ya kujiuliza wao wametoa taarifa kujaribu kufumba kinachoendelea
Na ili uamini afya ya jiwe nikweli haikua vzr check tweet & caption ya makonda,bashe,h.polepole
 
Walisema former CDF kapewa sumu KAFA.....

Wakadema Vice P kajiudhuru.....


Wakasema mke wa namba 4 sijui kafanyaje.....
Hakuna lolote lililotokea.

YOTE NI UONGO MTUPU.

Shida yetu wabongo ni kuamini mavii yanaweza kuwa ANDAZI kwa sababu mpika maandazi kasema hivyo.

Shenzzytype
 
Mbengu ya ubaguzi ikishaota imeota na imeshamea!!!!, Tuliona TL alivyoshambuliwq na wasiojulikana Watu waliojitoa damu, kumuombea walifukuzwa na kukamatwa na jeshi la polisi linalolipwa PESA za kodi Zao. Tl kapigwa risasi watu walifurahi hadhalani na kukejeli mitamdaoni hatukuona serikal ikilikaripia hili?!! Yote yatakayotangazwa Ashukuriwe mungu.
 
Umenena ndugu hasa BAVICHA yaani walowapo kwakweli inabidi milembe iongezwe vitanda Kwa MA BAVICHA hayajielew
 
Kurugenz ya mawasiliano haiko smart maana watu wako katika hali ya kujiuliza wao wametoa taarifa kujaribu kufumba kinachoendelea
Na ili uamini afya ya jiwe nikweli haikua vzr check tweet & caption ya makonda,bashe,h.polepole
Hawa mawaziri wa Jiwe ni kama vile walikuwa kwenye kikao. Maana jioni ya leo kila mmoja amekuja twitter kwa style yake ya kujifanya wanasikitishwa na hali ya mambo. Shwain
 
More
Wewe ni mwehu…!
IGP na Magufuli wanasema walompiga risasi Lisu ni WATU WASIOJULIKANA! Nina hakika unajua kama ni Mhe.Mbowe angelikamatwa siku ileile…!Pambaf mkubwa acha kupotosha!
alimpiga risasi Lissu acheni ujinga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…