publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 571
- 662
Tunaomba picha za hao wanaomliliaHata Gaddaffi alichukiwa hivi hivi pamoja na mazuri aliyowafanyia wananchi wake, beberu akawalisha sumu, leo wanamlilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba picha za hao wanaomliliaHata Gaddaffi alichukiwa hivi hivi pamoja na mazuri aliyowafanyia wananchi wake, beberu akawalisha sumu, leo wanamlilia
Usicheze na dola ww koma kama ulivyokoma kunyonya kwenye titi la mama yakoameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Unadhani umejificha kwenye fake ID utajulikana tu mshenzi huna adabu kikaragosi wwameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Ma bundle ya chuo yanawapa kibriVyuo vimefunguliwa pumba zimeanza!!
Msake Le mutuz huko Dsm kwenye madisco usiku huu mdodose anazo taarifa zote toka kwa Daud BashiteSisi walipakodi ,tunaopipiga kura ,hatuambiwi wanaficha nini?
BAVICHA utawajua tu akili zao mende anaafadhaliMzuqa!
Hii Lugha ya malkia kweli ilikuja na meli. Hule mlingoti wa kupeperusha bendera nilidhani unaitwa tu flagpost kwa Kiingereza kumbe hata jina la mast linatumika kwa mfano the flag is flying half mast yani nusu mlingoti
Aidha Kiingereza kinachanganya zaidi unaweza kutamka neno moja lakini ikawa na tofauti katika maandishi mfano morning na mourning.
Waiter kaa stendby!
View attachment 1238717
Cc Etwege Magonjwa Mtambuka
Mlikuwa mnachekelea yaliyompata TL leo tulieni dawa iwaingie tu.Nilipata Ghadhabu sana, nikiwa kama mdau wa Demokrasia na haki za binadamu kuona kuna kiongoz anathubutu kuwaita Watanzania wenzake "wadudu " tena mbele ya kadamnasi na mbele ya media
Niliona hii ni dalili nyingine ya vijana walio aminiwa na Mh Rais JPM, lakin wanajimwambafy na kujivika mamlaka wasio kuwa nayo
Ila leo nimeamini jamaa hakukosea sana, nafuta kauli zangu za kejeli nilizotoa kwake siku ile,
Na inawezekana neno wadudu lilikuwa ni understatement
Nimeelewa kuwa
1)Ni Wadudu tu, wanaoweza kushinda mitandaoni wakifurahia jambo na wakifurahia au kusubiri kwa hamu ujio wa taarifa mbaya za mwanadamu mwenzao, tena kiongoz wao. Na tena wadudu hao sio jamii ya Nyuki, Siafu au jamii nyingine ya wadudu wenye akili, siafu, Nyuki na baadhi ya wadudu wana upendo, Ushirika, uzalendo kwa makundi na vichuguu vyao kuliko wapinzani wa Tz, wanaheshimu viongozi wao balaa, nawaza labda wadudu jamii ya nzi,mende na wengineo ambao hawana ustaarabu wa kuishi kijamii ndo watakuwa na sifa za wapinzani tulio nao Tz.
2) Ni wadudu tu ndo ambao kila kitu hupiga kelele ,liwe jema au baya, Mchukulie nzi, kutwa kucha yeye ni nzeee, nzeee, nzeee, anapiga kelele, anacholilia hukion, hujui kuwa anafurahia au anahuzunika, na mbaya zaid ni kuwa anapiga kelele bila kufanya hatua yoyote, Nzi hang'ati,
Ni aheri kama nyuki, akitulia anatengeneza asali, ukimzingua anapiga yowe kidogo, huelewi anang'ata. Sasa kuwalinganisha wapinzani wa Tz na wadudu aina ya Nyuki sio sawa, hawa hawang'ati ,na wala hawatengenezi asali ,kazi kupiga domo tu, yee yee yee ,hawa ni wadudu jamii ya nzi na mende
3)Ni wadudu tu ambao watakuwa na usahaulifu kama walio nao wapinzani wa Tz
Juzi juzi tu mtu wanae muona leo ni hero kwa kuwaletea habar za uzushi, alikuwa ameweka kambi la mashambulizi kwa mwenyekiti wao,
Mwenyekiti wao hajajibu hata hoja moja, na wala halijawa tatizo, leo hii mtu huyo kazusha ya kuzusha, Msigwa ameendelea na majukumu yake ya kutangaza teuzi, wanabak wanalalama, mbona tuhuma hazijawekwa sawa? Wadudu mbona mnakuwa wasahaulifu? Tuhuma za mwenyekiti mliweka lini sawa? Na imagine tuhuma za mwenyekiti zilikuw zinahusu majukumu yake ya kazi, tuhuma hiz za leo ni binafsi (afya ni mambo binafsi) .
Au ndo muendelezo wa yale yale ya double standards, chama mnataka kitawaliwe kidikteta, miaka nenda rud,mwenyekiti ni huyo huyo, et hakuna mwingine mwenye vigezo, ila mkiambiwa na sisi kama nchi hatuoni mwenye vigezo vya kumpokea JPM tunataka aendelee, mnaanza kung'aka kuwa haiwezekani ktk watanzani m50 akosekane mwenye vigezo, wadudu mbona mnashindwa kutumia logic ndogo tu?
Hivyo kwa heshima na taadhima, naomba nimtake radhi yule mheshimiwa alie waita wapinzani wa Tz kuwa ni wadudu, sababu siku ile nilimlaani vikali kwa kutumia maneno yasiyo na staha kwa watanzania wenzake
Ila kwa yanayoendelea leo, yamenifanya nitafakari, na kugundua kuwa jamaa alikuwa anajua kitu cha ziada ambacho mimi sikuwa na najua kwa wakati ule
Hivyo namtaka na kumtia moyo, ajitokeze aongezee na kutolea ufafanuzi kwa msisitizo kuwa wapinzani wa Tanzania ni wadudu wa jamii ya nzi Na mende, sio wadudu wa jamii zinazojielewa kama Siafu wanaopiga kazi balaa(hapa kazi tu), nyuki wanaotengeneza asali (wanaunga mkono serikali ya viwanda) Vipepeo wanaoruka na kusaidia ktk pollination (kama Bombadier zetu tu)Na wadudu wengine wa aina hii.
Viva JPM, Viva Tanzania.
Usithubutu kutajataja bure jina la Rais nakuonya tena nakuonyaameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Ivumayo sana ndio ipasukayo, muda si mrefu tutajuwa ukweli wa yaliyo fichika nyuma ya pazia [emoji124]
Vijana mnavuta bangi na kukosa mipakaameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Mpaka mama Samia ataapishwaSijui viherehere na ujuaji ujuaji vitaisha lini Tz?????????
Watu wanaoombea apotee ni watumishi wa umma ambao wanalilia nyongeza ya mishahara kwa miaka minne bila mafanikio huku baadhi wakikerwa na Serikali kuhamia DodomaHata akifa taifa haliwez kupata shida yoyote taifa lilikuepo hata kabla ya jpm. Jpm ni kitu kidogo sana kwa taifa wala ata msimkuze na umuhim wake kma upo ni mdogo sana kwa taifa hil yeyote anaweza chukua nafasi yake na taifa likasonga mbele tena linaweza kusonga vizur zaid ya yeye akiendelea. Labda kiubinadam tu sio vizur kumuombea kifo japo hata yeye amependa hata baadhi ya watu wanaomkosoa wafe ili yeye aweze kupata ustawi.
Kuna watu mnaijaribu dolla ikiwachakata mnalalamika mmeonewaameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Alieota rais atakufa ni Godbless Lema
Unahangaika we acheni upuuziKama upo huko Dsm nenda Night club msake Le mutuz yule mpambe wa Bashite mchimbe chimbe atakupa ukweli wote kwani anazo taarifa toka kwa Bashite
Mkuu kwanini unahangaika namna hii? Ungekuja na taarifa mbadala kuthibitisha unachokiamini wewe kuwa ni sahihi, nadhani ingependeza zaidi.Unadhani umejificha kwenye fake ID utajulikana tu mshenzi huna adabu kikaragosi ww