Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ivumayo sana ndio ipasukayo, muda si mrefu tutajuwa ukweli wa yaliyo fichika nyuma ya pazia [emoji124]
 
ameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Usicheze na dola ww koma kama ulivyokoma kunyonya kwenye titi la mama yako
 
ameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Unadhani umejificha kwenye fake ID utajulikana tu mshenzi huna adabu kikaragosi ww
 
Mzuqa!

Hii Lugha ya malkia kweli ilikuja na meli. Hule mlingoti wa kupeperusha bendera nilidhani unaitwa tu flagpost kwa Kiingereza kumbe hata jina la mast linatumika kwa mfano the flag is flying half mast yani nusu mlingoti

Aidha Kiingereza kinachanganya zaidi unaweza kutamka neno moja lakini ikawa na tofauti katika maandishi mfano morning na mourning.

Waiter kaa stendby!

View attachment 1238717

Cc Etwege Magonjwa Mtambuka
BAVICHA utawajua tu akili zao mende anaafadhali
 
Nilipata Ghadhabu sana, nikiwa kama mdau wa Demokrasia na haki za binadamu kuona kuna kiongoz anathubutu kuwaita Watanzania wenzake "wadudu " tena mbele ya kadamnasi na mbele ya media

Niliona hii ni dalili nyingine ya vijana walio aminiwa na Mh Rais JPM, lakin wanajimwambafy na kujivika mamlaka wasio kuwa nayo

Ila leo nimeamini jamaa hakukosea sana, nafuta kauli zangu za kejeli nilizotoa kwake siku ile,

Na inawezekana neno wadudu lilikuwa ni understatement

Nimeelewa kuwa

1)Ni Wadudu tu, wanaoweza kushinda mitandaoni wakifurahia jambo na wakifurahia au kusubiri kwa hamu ujio wa taarifa mbaya za mwanadamu mwenzao, tena kiongoz wao. Na tena wadudu hao sio jamii ya Nyuki, Siafu au jamii nyingine ya wadudu wenye akili, siafu, Nyuki na baadhi ya wadudu wana upendo, Ushirika, uzalendo kwa makundi na vichuguu vyao kuliko wapinzani wa Tz, wanaheshimu viongozi wao balaa, nawaza labda wadudu jamii ya nzi,mende na wengineo ambao hawana ustaarabu wa kuishi kijamii ndo watakuwa na sifa za wapinzani tulio nao Tz.

2) Ni wadudu tu ndo ambao kila kitu hupiga kelele ,liwe jema au baya, Mchukulie nzi, kutwa kucha yeye ni nzeee, nzeee, nzeee, anapiga kelele, anacholilia hukion, hujui kuwa anafurahia au anahuzunika, na mbaya zaid ni kuwa anapiga kelele bila kufanya hatua yoyote, Nzi hang'ati,
Ni aheri kama nyuki, akitulia anatengeneza asali, ukimzingua anapiga yowe kidogo, huelewi anang'ata. Sasa kuwalinganisha wapinzani wa Tz na wadudu aina ya Nyuki sio sawa, hawa hawang'ati ,na wala hawatengenezi asali ,kazi kupiga domo tu, yee yee yee ,hawa ni wadudu jamii ya nzi na mende

3)Ni wadudu tu ambao watakuwa na usahaulifu kama walio nao wapinzani wa Tz

Juzi juzi tu mtu wanae muona leo ni hero kwa kuwaletea habar za uzushi, alikuwa ameweka kambi la mashambulizi kwa mwenyekiti wao,

Mwenyekiti wao hajajibu hata hoja moja, na wala halijawa tatizo, leo hii mtu huyo kazusha ya kuzusha, Msigwa ameendelea na majukumu yake ya kutangaza teuzi, wanabak wanalalama, mbona tuhuma hazijawekwa sawa? Wadudu mbona mnakuwa wasahaulifu? Tuhuma za mwenyekiti mliweka lini sawa? Na imagine tuhuma za mwenyekiti zilikuw zinahusu majukumu yake ya kazi, tuhuma hiz za leo ni binafsi (afya ni mambo binafsi) .

Au ndo muendelezo wa yale yale ya double standards, chama mnataka kitawaliwe kidikteta, miaka nenda rud,mwenyekiti ni huyo huyo, et hakuna mwingine mwenye vigezo, ila mkiambiwa na sisi kama nchi hatuoni mwenye vigezo vya kumpokea JPM tunataka aendelee, mnaanza kung'aka kuwa haiwezekani ktk watanzani m50 akosekane mwenye vigezo, wadudu mbona mnashindwa kutumia logic ndogo tu?

Hivyo kwa heshima na taadhima, naomba nimtake radhi yule mheshimiwa alie waita wapinzani wa Tz kuwa ni wadudu, sababu siku ile nilimlaani vikali kwa kutumia maneno yasiyo na staha kwa watanzania wenzake

Ila kwa yanayoendelea leo, yamenifanya nitafakari, na kugundua kuwa jamaa alikuwa anajua kitu cha ziada ambacho mimi sikuwa na najua kwa wakati ule

Hivyo namtaka na kumtia moyo, ajitokeze aongezee na kutolea ufafanuzi kwa msisitizo kuwa wapinzani wa Tanzania ni wadudu wa jamii ya nzi Na mende, sio wadudu wa jamii zinazojielewa kama Siafu wanaopiga kazi balaa(hapa kazi tu), nyuki wanaotengeneza asali (wanaunga mkono serikali ya viwanda) Vipepeo wanaoruka na kusaidia ktk pollination (kama Bombadier zetu tu)Na wadudu wengine wa aina hii.

Viva JPM, Viva Tanzania.
Mlikuwa mnachekelea yaliyompata TL leo tulieni dawa iwaingie tu.
 
ameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Usithubutu kutajataja bure jina la Rais nakuonya tena nakuonya
 
Mtoa mada hebu weka na michango yako uliyo changia humu alipo pigwa risasi TL ili nikwambie rangi yako.
 
Ivumayo sana ndio ipasukayo, muda si mrefu tutajuwa ukweli wa yaliyo fichika nyuma ya pazia [emoji124]

Usihangaike sana kuumiza kichwa endapo upo huko Tz jijini Dsm nenda night club msake Le mutuz mpaka umpate kisha mpeleleze atakupa ukweli wote
 
Yale ya Lissu mmesha sahau mapema hivi, Only God knows

Asiyekuwa na power huenda hio ndio ikawa revenge yake, so usiwalaumu sana
 
Hata akifa taifa haliwez kupata shida yoyote taifa lilikuepo hata kabla ya jpm. Jpm ni kitu kidogo sana kwa taifa wala ata msimkuze na umuhim wake kma upo ni mdogo sana kwa taifa hil yeyote anaweza chukua nafasi yake na taifa likasonga mbele tena linaweza kusonga vizur zaid ya yeye akiendelea. Labda kiubinadam tu sio vizur kumuombea kifo japo hata yeye amependa hata baadhi ya watu wanaomkosoa wafe ili yeye aweze kupata ustawi.
Watu wanaoombea apotee ni watumishi wa umma ambao wanalilia nyongeza ya mishahara kwa miaka minne bila mafanikio huku baadhi wakikerwa na Serikali kuhamia Dodoma
 
ameshakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,subiri taarifa ya maziko kijijini kwake chato,afe kabisa
Kuna watu mnaijaribu dolla ikiwachakata mnalalamika mmeonewa
 
Mkuu naona umeanzia watu walipoanguka, rudi nyuma ujue walijikwaa wapi.. ndio ulete uzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom