namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Hata LAP TOP ya DPP alisema na ikapigwaPia habari za kutumbuliwa kwa Kpilimba alizisema siku kabla na ikatokea. Hata hivyo kuna vingi anavisema havitokeo kama Mama Samia kukamatwa, hata hili nina wasiwasi nalo sana. Au inawezekana kweli ameumwa ila sio kwa kiasi hiki cha kukaribia kukata roho