Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ni kama vile tumeshaingia ukumbini na tunasubiri director aanze kutuonesha senema ya kuogofya sana...
Kila mtu yuko kimya ukumbini... Hofu na sintofahamu vikiwa vimetanda... Senema haiji... Wana propaganda na wazee wa kurekebisha wako kazini kuhakikisha wapenzi watazamaji hawataruki senema ya kutisha sana itakapoanza..
Wapiga mayowe hayaa
Wapaparikaji haya
Washangiliaji hayaa
Wapiga vifijo nderemo na mahamham wote hayaa
Wapiga kwikwikwi wote mule mule
Director tuna hamu ya kuona muvi... Usitusubirishe sana
Naelekea kwa mama muuzaView attachment 1238660
Aisee!
 
Idara ya usalama wa taifa mmeteleza kwa kweli,
watu hawa;
maria sarungi, fatma karume, nkuna, suphian, hilda, tito, n.k ni wazi walitakiwa wapate adhabu ambayo ingekuwa fundisho dunia nzima
Haiwezekani kejeli, uongo kwa raisi ndio maisha yao ya kila siku.
 
Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Naskia wachawi wa gamboshi wamemsindikiza jiwe ujerumani kumpatia huduma ili apone mapema
 
Kweli najua watanzania wengi uelewa wetu mdogo na elimu hairidhishi sana, kilichonishtua zaidi ni wingi wa kundi la watu wenye roho mbaya.

Hii ni hatari kubwa kuliko wale maadui watatu aliowaainisha Baba wa Taifa (Ujinga, Umasikini na Maradhi).
 
Uongo gani sasa? Halafu je hiyo ndo kazi ya usalama wa taifa. Wewe ni mpumbavu.

Back
Top Bottom