Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nilishawai Kusema kwa tabia za watu kutekwa na serikali kukaa kimya kuna siku atatekwa kiongozi mkuu na serikali itakaa kimya hivyo hivyo maana tushazoeshwa utekaji.
yuko wap? je katekwa? je kapotea? je anaumwa? je kunani? tujuze mi naingia church misa ya kwanza kumuombea.
 
Duh..hii taharuki inaendelea hata baada ya taarifa za kutengua na kuteua!??
 
Yaani ata ndugu zake wanafichwa kinachoendelea huu utoto sijui nani kashauri ufanyike.

Nakuhakikishia uko chato hakuna mtu anayejua kinachoendelea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom