ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Kuumwa dhambi?Kinachonisikitisha ni jinsi serikali inaposhindwa kuutaarifu umma kinachoendelea ni hatari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuumwa dhambi?Kinachonisikitisha ni jinsi serikali inaposhindwa kuutaarifu umma kinachoendelea ni hatari...
Nenda kwa Trump katukane hadharan lakini si hapa Tz tutakushikusha adabu tuNi haki na uhuru wa binadamu kupenda na kutokupenda, tambua watu wana hulka ya kupenda na kuchukia bro usilazimishe watu wawe na same perspectives never. Trump daily anatukanwa ata live hivi na watu wanaachwa. Acha kutishia watu. Kwa wenye hofu ya Mungu tuombee upendo amani na mshikamano kwa watu wote pasi kujali itikadi zetu
Panapokuwa na habari feki na hakuna mwenye dhamana anaekanusha na kuuelezea uma usahihi wa kilichopo!Sio Kila uzushi ni wa kujibu....wahusika wasakwe popote pale hata kama chini ya uvungu wa vitanda vyao wakamatwe na kushikishwa adabu ndiyo dawa yao....hatuwezi kuwa taifa la kuzusha zusha tu habari.
Na wewe hujui aina za magonjwa humu kuna wagonjwa wengi sana haswa wa akiliYani utadhani humu hakuna wagonjwa
Sio lazima Kila wakati ujue Rais yuko...sio Kila Jambo analofanya Rais linawekwa hadharani...Mnatakiwa kujua taasisi ya Rais inavyofanya kazi.Waliozusha wameshasema yupo wapi,wewe ambae umekanusha ndo inatakiwa utueleze yupo wapi ili kuwaumbua wazushi
Nan anatoa taarifa wakati chief confotor kaka a kimyaKuumwa dhambi?
Yaani ningeweza kulike hapa mara milion nyingi ningefanya hivyo! Kama Ni mgonjwa Mungu kwa rehema zake amponye amrejeshe ktk Khali yake ili aeendelee na majukumu ya kuliongoza taifa.
Mbona povu mkuu???...tulia mungu atende haki kwa kila mtuSio lazima Kila wakati ujue Rais yuko...sio Kila Jambo analofanya Rais linawekwa hadharani...Mnatakiwa kujua taasisi ya Rais inavyofanya kazi.
Rais Magufuli kasali wapi leo?
GermanyMkapa kasali wapi leo