Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu Nimepokea ushauri wako Kama mwanaccm na nitaendelea kusoma maoni yako Kama navyo somaga siku zoteSasa ndiyo serikali yako ya ccm inatakiwa iwekeze nguvu kubwa huko kwenye kutoa elimu, na pia kuja na sera ya kuhamasisha wananchi kutumia gesi yao, badala ya kuwapelekea Wakenya!
Huwezi ukaharibu mwenyewe mazingira kupitia shughuli zako mbalimbali! Halafu unakuja kusumbua watu kumuomba Mungu atatue matatizo ambayo umeyatengeneza mwenyewe.
Aminaaaa Nashukuruuu Sanaa mkuuMungu wa Bwana wetu Yesu Kristo,naomba utusamehe maovu yetu sisi kama nchi ya Tanzania na watu watu wote waliomo nchini,viongozi wetu kuanzia rais mpaka mjumbe wa nyumba kumi,wewe Mungu uliyeahidi katika neno lako kwamba majira ya nchi hayatakoma mpaka mwisho wa dahali kwa kutuletea mvua za vuli na masika kwa wakati nakuomba ee Mungu utupe mvua hizo kwa wakati kwenye kila mkoa wa nchi yetu,ee Mungu naamini umesikia maombi ya watanzania kwa jina la Yesu naamini hakutakuwa na ukame kwenye nchi yetu.Naam baada ya kufanikiwa kwenye kazi zetu zinazohitaji mvua i.e kilimo,viwanda n.k tukuletee sifa wewe.
Uharibifu mazingira afu utegemee Mungu akuletee mvua??....Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi,mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado ardhi Ni ngumu Sana, bado imekauka Sana, Bado majembe yetu yanatuumiza mbavu na kuchosha miili yetu wakati huu tunapo endelea kulima taratibu wakati tunasubili mvua
Ikumbukwe kuwa mpaka mwezi huu sisi wakulima hasa huku mkoani Songwe huwa tunakuwa tumepata mvua ambazo huwa tunasema kuwa Ni mvua za kahawa, lakini mpaka Sasa mvua hizo hazijanyesha katika maeneo mengi na hivyo kuwaathiri na kutetelesha wakulima wa kahawa hasa wilaya yetu ya Mbozi,
Sote Tunajuwa kuwa asilimia kubwa Sana ya watanzania wanyonge tunategemea kilimo Cha mvua, Mvua ndio kila kitu kwetu, ndio mrija wa hewa kwetu, ndio jeuri yetu, Ndio fahari yetu, hatuoni shida kulima huku mvua ikinyesha maana tulishazoea kufanya hivyo,
Mbele za Mwenyezi Mungu Hakuna lisilo wezekana, Hata Hili linawezekana mbele za Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhira ambaye amekuwa akituvusha katika nyakati zote ngumu tulizowahi kupitia Watanzania, Mungu wetu Ni msikivu na Mwenye upendo Na sisi Watanzania, Mungu wetu Hawezi kutuacha, Tupige magoti Tumlilie kwa Imani zetu ili apokee maombi yetu, Tujongee na kujinyenyekeza mbele zake, Twendeni mbele zake tukiwa Tumelibeba Taifa letu mabegani mwetu ili Tukamkabidhi mikononi mwake,
Mvua Ni Neema na baraka kwetu watanzania, Tunahitaji Baraka na Neema hizo kwa Sasa, Tunahitaji mkono wa MWENYEZI MUNGU uweze kushusha neema ya mvua hapa nchini, Tunahitaji mvua ili mabwawa yetu ya maji yajae ili tupate umeme wa uhakika wakati wote na kuliangazia Taifa letu saa 24, Tunahitaji mvua ili tupate maji Safi na salama kwa ajili ya matumizi yetu watanzania
Sanjari na Hilo tuhakikishe tunatunza mazingira yetu kwa kadri ya uwezo wetu,tupande Miti katika maeneo yetu , tusikate Miti hovyo Wala kuchoma misitu yetu, tusilime kando kando ya vyanzo vya maji yetu na tupeana elimu juu ya utunzaji wa mazingira yetu wakati wote, Tuyatunze na kuyalinda mazingira yetu kwa nguvu zetu zote na kwa gharama zote ili yatutunze na kutulinda zidi ya mabadiliko ya Hali ya hewa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hapo kwenye huo wingi "utusamehe" naomba mimi nisijumuishweMungu wa Bwana wetu Yesu Kristo,naomba utusamehe maovu yetu sisi kama nchi ya Tanzania na watu watu wote waliomo nchini,viongozi wetu kuanzia rais mpaka mjumbe wa nyumba kumi,wewe Mungu uliyeahidi katika neno lako kwamba majira ya nchi hayatakoma mpaka mwisho wa dahali kwa kutuletea mvua za vuli na masika kwa wakati nakuomba ee Mungu utupe mvua hizo kwa wakati kwenye kila mkoa wa nchi yetu,ee Mungu naamini umesikia maombi ya watanzania kwa jina la Yesu naamini hakutakuwa na ukame kwenye nchi yetu.Naam baada ya kufanikiwa kwenye kazi zetu zinazohitaji mvua i.e kilimo,viwanda n.k tukuletee sifa wewe.
Afu sa hiyo miti ikaenda kutumika kutengenezea karatasi za BibliaMMEKATA MITI ALIYOPANDA MUNGU HALAFU MNATAKA KUMCHOSHA MUNGU
Tuendelee kutunza mazingira yetu na tupeana elimu juu ya kutunza mazingira yetuUharibifu mazingira afu utegemee Mungu akuletee mvua??....
Mkuu kikubwa Tutambue kuwa Tanzania Ni yetu sote, Hivyo kikubwa Tutambue kuwa Ni wajibu wetu kuyatunza mazingira na kutokubali mtu yoyote Yule kuharibu mazingira yetuUharibifu mazingira afu utegemee Mungu akuletee mvua??....
Nimeandika kuwa tumwombe Mungu Atupatie mvua za Baraka na NeemaHalafu zikinyesha nyingi tutarudi tena kumuomba atuepushe na mafuriko ...
Taifa la kondoo.. huendeshwa na serikali ya Dubu na Mbwa Mwitu
Unafikiri hayo maziwa na mito ipo kila mahali na kwa kila Shamba Hadi huku kwetu Mbozi? Umefikiria suala la gharama? Au unafikiri wakulima wote Ni matajiri na wenye uwezo wa kufanya kilimo Cha umwagiliaji? Umewahi kufika mashambani? Unajuwa yaliko mashamba? Unafikiri kwote Kuna hiyo mito?Imagine nchi imezungukwa na Maziwa, Mito, Mabwawa, na Bahari, kila upande! Halafu hawa ccm wanatuambia eti tufanye maombi ili Mungu alete mvua!!
Yaani nchi ina miaka zaidi ya 60 sasa tangu ipate Uhuru, lakini bado kilimo chake kwa zaidi ya 90% eti kinategemea mvua!
Imagine mpaka leo Misri wanatumia maji ya Mto Nile kwa ajili ya kuendeshea kilimo cha umwagiliaji, lakini maji hayo hayo ambayo chanzo chake kimojawapo ni Ziwa Victoria, eti hayaruhusiwi kutumiwa na nchi nyingine zeny chanzo cha huo Mto! Tena ni kwa kupitia mikataba iliyosainiwa na Waingereza enzi za Ukoloni!
Wewe kubali tu serikali yako ya ccm haina vipaumbele vya kueleweka! Na badala yake imewekeza zaidi nguvu kubwa kwenye siasa! Ingekuwa imewekeza kwenye kuwainua wananchi wake kiuchumi, nakuhakikishia tungekuwa mbali sana kama Taifa.Unafikiri hayo maziwa na mito ipo kila mahali na kwa kila Shamba Hadi huku kwetu Mbozi? Umefikiria suala la gharama? Au unafikiri wakulima wote Ni matajiri na wenye uwezo wa kufanya kilimo Cha umwagiliaji? Umewahi kufika mashambani? Unajuwa yaliko mashamba? Unafikiri kwote Kuna hiyo mito?
Hiki Ni kipindi ambacho serikali imeshuku kwa mwananchi na kumgusa moja kwa moja mwananchi, kwa kumtumikia na kumtatulia kero zake. Ni kipindi hiki ambacho serikali imejikita katika kuinua maisha ya mtanzania mnyonge, Ndio maana unaona hata katika kilimo namna serikali ilivyotoa mabillioni ya Ruzuku na kupelekea kushuka kwa Bei sokoniWewe kubali tu serikali yako ya ccm haina vipaumbele vya kueleweka! Na badala yake imewekeza zaidi nguvu kubwa kwenye siasa! Ingekuwa imewekeza kwenye kuwainua wananchi wake kiuchumi, nakuhakikishia tungekuwa mbali sana kama Taifa.
Halafi utambue gharama za kutengeneza miundombinu ya umwagiliaji hufanyi wewe! Na badala yake hufanywa na serikali kupitia kodi yako, na pia ile mikopo kutoka nje na ambayo utatakiwa kuja kuilipa wewe na vizazi vyako. Hivyo usitafute visingizio mfu.
Ujinga tu umetujaa, huo mkataba ni Biblia? mbona Ethiopia pamoja na matisho yooote wameendelea kujaza bwawa lao la Benishangul-Gumuz maji?..... kutwa kukimbizana na kina John Myika barabarani... ok ingalikuwa sisi ndo Marekani ungewaeleza huo upuuzi wa @!*&? MKATABA....Unafikiri hayo maziwa na mito ipo kila mahali na kwa kila Shamba Hadi huku kwetu Mbozi? Umefikiria suala la gharama? Au unafikiri wakulima wote Ni matajiri na wenye uwezo wa kufanya kilimo Cha umwagiliaji? Umewahi kufika mashambani? Unajuwa yaliko mashamba? Unafikiri kwote Kuna hiyo mito?
Unakata miti 2.7m alafu kesho unapiga magoti kumuomba Mungu inyeshe?Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi,mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado ardhi Ni ngumu Sana, bado imekauka Sana, Bado majembe yetu yanatuumiza mbavu na kuchosha miili yetu wakati huu tunapo endelea kulima taratibu wakati tunasubili mvua
Ikumbukwe kuwa mpaka mwezi huu sisi wakulima hasa huku mkoani Songwe huwa tunakuwa tumepata mvua ambazo huwa tunasema kuwa Ni mvua za kahawa, lakini mpaka Sasa mvua hizo hazijanyesha katika maeneo mengi na hivyo kuwaathiri na kutetelesha wakulima wa kahawa hasa wilaya yetu ya Mbozi,
Sote Tunajuwa kuwa asilimia kubwa Sana ya watanzania wanyonge tunategemea kilimo Cha mvua, Mvua ndio kila kitu kwetu, ndio mrija wa hewa kwetu, ndio jeuri yetu, Ndio fahari yetu, hatuoni shida kulima huku mvua ikinyesha maana tulishazoea kufanya hivyo,
Mbele za Mwenyezi Mungu Hakuna lisilo wezekana, Hata Hili linawezekana mbele za Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhira ambaye amekuwa akituvusha katika nyakati zote ngumu tulizowahi kupitia Watanzania, Mungu wetu Ni msikivu na Mwenye upendo Na sisi Watanzania, Mungu wetu Hawezi kutuacha, Tupige magoti Tumlilie kwa Imani zetu ili apokee maombi yetu, Tujongee na kujinyenyekeza mbele zake, Twendeni mbele zake tukiwa Tumelibeba Taifa letu mabegani mwetu ili Tukamkabidhi mikononi mwake,
Mvua Ni Neema na baraka kwetu watanzania, Tunahitaji Baraka na Neema hizo kwa Sasa, Tunahitaji mkono wa MWENYEZI MUNGU uweze kushusha neema ya mvua hapa nchini, Tunahitaji mvua ili mabwawa yetu ya maji yajae ili tupate umeme wa uhakika wakati wote na kuliangazia Taifa letu saa 24, Tunahitaji mvua ili tupate maji Safi na salama kwa ajili ya matumizi yetu watanzania
Sanjari na Hilo tuhakikishe tunatunza mazingira yetu kwa kadri ya uwezo wetu,tupande Miti katika maeneo yetu , tusikate Miti hovyo Wala kuchoma misitu yetu, tusilime kando kando ya vyanzo vya maji yetu na tupeana elimu juu ya utunzaji wa mazingira yetu wakati wote, Tuyatunze na kuyalinda mazingira yetu kwa nguvu zetu zote na kwa gharama zote ili yatutunze na kutulinda zidi ya mabadiliko ya Hali ya hewa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Sijaongelea habari za akina Mnyika hapa, maana suala lililopo hapa halichagua chama Cha mtu na Wala halihitaji kuleta uchama hapa, uwe unajuwa masuala ya kitaifaUjinga tu umetujaa, huo mkataba ni Biblia? mbona Ethiopia pamoja na matisho yooote wameendelea kujaza bwawa lao la Benishangul-Gumuz maji?..... kutwa kukimbizana na kina John Myika barabarani... ok ingalikuwa sisi ndo Marekani ungewaeleza huo upuuzi wa @!*&? MKATABA....
Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi,mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado ardhi Ni ngumu Sana, bado imekauka Sana, Bado majembe yetu yanatuumiza mbavu na kuchosha miili yetu wakati huu tunapo endelea kulima taratibu wakati tunasubili mvua
Ikumbukwe kuwa mpaka mwezi huu sisi wakulima hasa huku mkoani Songwe huwa tunakuwa tumepata mvua ambazo huwa tunasema kuwa Ni mvua za kahawa, lakini mpaka Sasa mvua hizo hazijanyesha katika maeneo mengi na hivyo kuwaathiri na kutetelesha wakulima wa kahawa hasa wilaya yetu ya Mbozi,
Sote Tunajuwa kuwa asilimia kubwa Sana ya watanzania wanyonge tunategemea kilimo Cha mvua, Mvua ndio kila kitu kwetu, ndio mrija wa hewa kwetu, ndio jeuri yetu, Ndio fahari yetu, hatuoni shida kulima huku mvua ikinyesha maana tulishazoea kufanya hivyo,
Mbele za Mwenyezi Mungu Hakuna lisilo wezekana, Hata Hili linawezekana mbele za Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhira ambaye amekuwa akituvusha katika nyakati zote ngumu tulizowahi kupitia Watanzania, Mungu wetu Ni msikivu na Mwenye upendo Na sisi Watanzania, Mungu wetu Hawezi kutuacha, Tupige magoti Tumlilie kwa Imani zetu ili apokee maombi yetu, Tujongee na kujinyenyekeza mbele zake, Twendeni mbele zake tukiwa Tumelibeba Taifa letu mabegani mwetu ili Tukamkabidhi mikononi mwake,
Mvua Ni Neema na baraka kwetu watanzania, Tunahitaji Baraka na Neema hizo kwa Sasa, Tunahitaji mkono wa MWENYEZI MUNGU uweze kushusha neema ya mvua hapa nchini, Tunahitaji mvua ili mabwawa yetu ya maji yajae ili tupate umeme wa uhakika wakati wote na kuliangazia Taifa letu saa 24, Tunahitaji mvua ili tupate maji Safi na salama kwa ajili ya matumizi yetu watanzania
Sanjari na Hilo tuhakikishe tunatunza mazingira yetu kwa kadri ya uwezo wetu,tupande Miti katika maeneo yetu , tusikate Miti hovyo Wala kuchoma misitu yetu, tusilime kando kando ya vyanzo vya maji yetu na tupeana elimu juu ya utunzaji wa mazingira yetu wakati wote, Tuyatunze na kuyalinda mazingira yetu kwa nguvu zetu zote na kwa gharama zote ili yatutunze na kutulinda zidi ya mabadiliko ya Hali ya hewa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania wanyonge kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hatukufanya makosa 2020 Bali tulionyesha faida ya chama kuwekeza kwa wanyonge ambao ndio waliyopiga Kura kwa wingiJamani tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Tabia ya nchi ikibadilika na sisi tunapaswa tuwe tayari kubadilika nayo. Wasomi wetu mahiri wako wapi?
Tabia ya watu nayo ibadilike maana ushoga unavyosambaa kwa kasi ndivyo ukame unazidi.
Tutubu makosa tuliyofanya katika uchaguzi wa 2020 maana kwa sasa tunavuna tulichopanda!
Mkuu Mimi Ni mtu wa maombi Sana na Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu Ndio maana unaona hata michango yangu humu haina matusi Wala dharau, ndio maana unaona hata ukinitukana Mimi siwezi nikakutukana maana moyo wangu umejaa hofu ya Mwenyezi MunguLeo ndio umekumbuka Kuna maombi?.