Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

Acha kumsumbua Mungu na mambo yanayotokana na ujinga wetu wenyewe.Mungu alishatuumba akatuwekea vichwa vyenye ubongo kama hatutumii bongo zetu vizuri sasa yeye afanyaje tena.Matatizo na changamoto zetu zote zinahitaji matumizi ya akili sio maombi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna lisilo wezekana mbele za Mwenyezi Mungu, akili zetu pekee pasipo uwepo wa Mwenyezi Mungu Ni sawa na kipofu atembeaye gizani hawezi kufika kokote
 
Hakuna lisilo wezekana mbele za Mwenyezi Mungu, akili zetu pekee pasipo uwepo wa Mwenyezi Mungu Ni sawa na kipofu atembeaye gizani hawezi kufika kokote
Hivi unajua kuna nchi hazina kabisa hizo mvua unazozililia wewe kwa Mungu ba bado wamefanya makubwa.hao ndio waliopaswa wamuombe Mungu sio sisi wenye neema yakila namna.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Maombi yaliyo Bora kuliko yote ni kuwa na Imani huku ukitumia akili uliyopewa na Mungu.
Kuomba bila kutumia akili ni kumkosea Mungu.
Matumizi ya sayansi ni mpango wa Mungu kutuwezeza kutawala ulimwengu tukiwa watu aliotuumba kwa mfano wake.
Kufanana kwetu na Mungu siyo kwa sura au umbo, bali utashi na akili kidogo kutoka ya kwake ipitayo zote.
Kitu muhimu cha kujua ni kuwa watu wajinga na wapumbavu siyo wana wa Mungu, labda baali.
 
Katika

Thread zako zote ulizowai kuandika

Hii ndio pekee umetumia akili.

Huko kwingine umekuwa ukimbwelambwela tuu .

Tuu kama hawa wanaosema Kuna umeme wa kutosha lkn umeme unakatika Siku mbili.

Bei ya bandle ni ndogo tz lkn kilakukicha gharama zinaongezeka.

Tanzania kuna chakula cha kutosha

Bei ya maharage ambayo ndio chakula cha Mtanzania wa kawaida kabisa kilo 4500tsh

Jibu kwa hoja
 
Kikubwa ni kumwomba Mwenye Enzi Mungu atuzidishie HEKIMA NA MAARIFA ya hii Dunia nzuri aliyo tukabithi sisi wanadamu walahi [emoji2972]
 
Hatukufanya makosa 2020 Bali tulionyesha faida ya chama kuwekeza kwa wanyonge ambao ndio waliyopiga Kura kwa wingi
Pamoja na kuwekeza kwa wanyonge hilo tayari ni kosa kwa Muumba wetu. Mnawafanya watu wanyonge ili wawape kura? Isitoshe sijui kama unajua wizi ulivyofanyika! Bao la mkono la Bwana Nape si unalikumbuka? Mimi nasema aliyeshinda kwa haki apewe ushindi wake awe CCM au chama kingine lakini figisu nyingi kwa kisingizio cha kutumia wanyonge si tija.
 
Ni CCM Ndio ilihoshinda na ndio maana iliunda serikali na Kuendelea kuungwa mkono na watanzania wote mpaka sasa
 
TUPANDE NA MITI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…