Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

We matako Magufuli hajawahi kuisaidia nchi hii chochote, usimkuze kwa maslahi yako. Yule mshamba alituharibia nchi ndani ya miaka 5. Never never never again kuwa na mshamba km yule.
 
Viongoz wakiamua kuchapa kazi hata zaidi yake mbona tutamsahau, ila huu upuuz uliopo na unavyoendelea ndo unatufanya tumkumbuke Mwamba.
 
Uzalendo ni dhana inayobidi kurejewa na kuangaliwa kwa kina.

Hitler alikuwa mzalendo?

Ukianzisha vita ya kijinga itakayoifanya nchi yako iangamizwe na watu wako wengi kuuawa, ukawabagua raia wa nchi yako wengi na kuwaua, je, wewe ni mzalendo?
Magufuli alikuwa mzalendo? Yule alikuwa mbaguzi
 
alichukia ufisadi
Acha uongo nani alikamatwa kwenye ripoti ya wezi wa mali za CCM?

Ripoti ya makinikia kuna mtu alikamatwa?

Vipi Mwanyika akapewa ubunge licha ya kwamba kampuni yao ya ACACIA tuliaminishwa ilituibia makinikia?

Enhee TAKUKURU ilitoa ripoti ya watoa rushwa kwenye kura za maoni CCM. Je kuna yeyote alikamatwa mpaka leo?
 
Viongoz wakiamua kuchapa kazi hata zaidi yake mbona tutamsahau, ila huu upuuz uliopo na unavyoendelea ndo unatufanya tumkumbuke Mwamba.
Kazi gani mkuu? Mbona ufisadi ulikuwepo pia? Embu nitajie ripoti ya CAG hata moja kipindi cha JPM iliyokua haina wizi?
 
Uzalendo ni dhana inayobidi kurejewa na kuangaliwa kwa kina.

Hitler alikuwa mzalendo?

Ukianzisha vita ya kijinga itakayoifanya nchi yako iangamizwe na watu wako wengi kuuawa, ukawabagua raia wa nchi yako wengi na kuwaua, je, wewe ni mzalendo?
Yes alikua mzalendo ndio maana alianzisha expansionist policy ili ujerumani irudi kwenye ukubwa wake kabla ya versailles treaty!!
 
Unajichanganya wewe. Wapi nimekuuliza Philosophy ya Hayat Rais? Niwekee hiyo posti hapa niliyokuuliza na sio kunilisha maneno yakhe.

Huwezi ku equate yaliyofanywa na Hitler na yaliyofanywa na Magufuli by any equation.

Unachokitafuta hapa ni kuunga unga porojo na Kudai Hayat alikuwa ni Diktator. Hayo mengine ni porojo tu.

Sasa angalia wewe na genge lako mnavyo post-Bila ya kunga'amua yote, itoshe kusema, mlikuwa mmejiandaa. Na kwa maana hiyo hizi ni Propaganda za kutaka kufifisha na kudumaza fikra za Watanzania ili wabakie na fikra za Kutawaliwa....

you're flooding cognitive senses....and that is by design.
 
Ulevi wa madaraka unauita philosophy, baba wa taifa na karume ndo walijenga philosophy ya nchi hii tena siku ccm inazaliwa, akili za Watanzania zinatembea na ccm na katiba hii ,
 
Unajichanganya wewe. Wapi nimekuuliza Philosophy ya Hayat Rais? Niwekee hiyo posti hapa niliyokuuliza na sio kunilisha maneno yakhe.
Okay, sawa, ume-reply post ya jibu nililotoa kwa swali la mtu mwingine. Umeshinda basi
 
Bado ungali binti/mvulana mdogo huwezi nielewa? Nenda kabet/kasikilize umbea insta
Hiyo Lugha unayotumia, nishaisikia sana na haini tetereshi.

Wewe ni mwehu tu. Unataka kusema wengine ni wehu kwa sababu wanamkumbuka? Wewe umemshahu?

Wacha Ugaidi. Your saviour mentality is nothing else but Uwendawazimu. Ni wehu huo.
 
Magufuli kuna mambo alifanya mazuri kwa speed kali LAKINI kinyume cha katiba na sheria za nchi alizoapa kulinda.

Mjomba Magu alifika wakati ana ndoto kubwa ya kuifanya Tanzania kuwa donor country lakini kwa nyenzo zipi?

Mjomba Magu pammoja kuwa nwanasayansi aliejikita kwenye Chemistry na Hisabati alidharau ujio wa Corona bila mikakati ya kisayansi,akifikiri kuficha data ndio solution kumbe ni majanga.
Yawezekana tumewakosa wapenzi wetu waliokufa wakati wa Corona sababu ya upumbavu wa maamuzi.

One man show haijengi majumuisho au ushirikiano wa mawazo ndio njia kuu ya mafanikio.Nadhani kama hawa watu mashuhuri wangekuwepo duniani leo wangetusaidia kuondoa upuuzi wa bila mimi hakuna kitu.
Albert Einstein, Isack Newton, Max Plank,Mfalme Suleiman,Tesla,Ian Fleming,Maria Tesla,Nelson Mandela, Yassir Arafat,Abdul Gamar Nassar,Queen of Sheba,Mansa Mussa,Mbaraka Mwaluka Mwishehe.
 
Ulevi wa madaraka unauita philosophy, baba wa taifa na karume ndo walijenga philosophy ya nchi hii tena siku ccm inazaliwa, akili za Watanzania zinatembea na ccm na katiba hii ,
Mkuu, unaelewa maana ya philosophy? Tuanzie hapo kwanza.
 
Una kila dalili za mtu ambae hajasoma. Katika context, naweza kumlinganisha Messi na mtoto mcheza cha ndimu mtaani kwetu, lakini wewe hutaelewa hilo
Kuna mambo uwezi kulinganisha you know nothing about NAZI concentration camps and they were about.

Kufananisha masahiba waliyopitia Jews kwenye utawala wa NAZi with their Aryan race obesslon; jumlisha hizo baseless accusation zako za Magufuli umeonyesha kiwango cha ujinga wako.

Hitler kabisa unaweza kutoka mbele ya dunia na kumsifia, you must be very stupid.
 
Fikra za kijinga tu na kilevi kumfananisha Magufuli na Hitila
 
Mkuu, unaelewa maana ya philosophy? Tuanzie hapo kwanza.
Enlighten us please on philosophy

I doubt if m you can tell us the difference of an ‘entology’ and epistemology’ argument. Let alone Nietzsche baseless accusations in support of NAZI.

Wewe ni mjinga

Yaaani unafanisha utawala wa Hitler na mtu mwingine duniani leo; you must be very stupid,
 
Hiyo Lugha unayotumia, nishaisikia sana na haini tetereshi.

Wewe ni mwehu tu. Unataka kusema wengine ni wehu kwa sababu wanamkumbuka? Wewe umemshahu?

Wacha Ugaidi. Your saviour mentality is nothing else but Uwendawazimu. Ni wehu huo.
Relax kunywa maji nenda kabet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…