Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

Utamkumbuka we na malofa wenzako.
Lofa Mama yako
Nendeni mkaanike dagaa Chato intl Airport, mkatibiwe ile hosp ya rufaa. Katilii Burigi-Chato, yule ni mhutu muuaji,
Huo ni Uwongo, tena Wakupitiliza. Usha Futuru sasa?
wako wapi wapendwa wetu Alfred Mawazo, Ben saanane, Azory Gwanda?
Usijifanye kuwa una uchungu mkubwa zaidi ya Familia yake-Nenda Ikulu Ukaulize haya maswali, hapa sio pahale pake.

Vijana wenye akili km wale ametupotezea kwa inferiority complex zake.
Wange kuwa na akili wasingepotea.
Yule shetani ashukuru kaburi lake linalindwa na serikali.
Kwamba ndio Ungefanya nini? Huna lolote wewe zaidi ya Ugaidi wa Mtandaoni.

Hovyo kabisa Nyie. Umekula Futari lakini?
 
Yes alikua mzalendo ndio maana alianzisha expansionist policy ili ujerumani irudi kwenye ukubwa wake kabla ya versailles treaty!!
Umesema vema Mkuu. Kuna watu wanafikiri uzalendo maana yake kufanya matendo mazuri. Uzalendo has nothing to do with matendo mazuri, bali unaweza kutoa definition ya matendo maovu na kuyapa uzuri, ikiwa yanafanyika kwa kile kinachoonwa ni maslahi ya nchi
 
Enlighten us please on philosophy
Google

Philosophy = a theory or attitude that acts as a guiding principle for behavior.

Eg, "don't expect anything and you won't be disappointed, that's my philosophy"
 
Ni matusi Kwa wafuasi wa Mwendazake kufananishwa na Hitler anaechukiwa Dunia nzima.

Madikteta wote Huwa wanategemea propaganda kama silaha Yao kuu.

Mwisho habari za Mwendesha haziwezi katika Leo maana pamoja na unayoita mazuri ambayo sijui hata kama yapo ila aliwaharibia wengi sana.

Labda baada ya uchaguzi Mkuu kuisha ndio stori zake zitapungua.

Kuna watu wanamkumbuka Sokoine sembuse Mwendazake aliyefia madarakani?
 
Afadhali hata usingejibu, maana jibu lako linazidi kufunua upeo wako mdogo wa elimu.

Mie nalinganisha philosophy ya uzalendo ya Magufuli na Hitler wewe unaeleta mambo ya concentration camps kama point zako kwamba hawapaswi kulinganishwa? I say, kakojoe uende kulala
 
Uzalendo ni dhana inayobidi kurejewa na kuangaliwa kwa kina.

Hitler alikuwa mzalendo?

Ukianzisha vita ya kijinga itakayoifanya nchi yako iangamizwe na watu wako wengi kuuawa, ukawabagua raia wa nchi yako wengi na kuwaua, je, wewe ni mzalendo?
Kuna mtu anayeanzisha ugomvi kwa kudhani atapigwa.?
 
I say, waalimu wana kazi sana. Waongezewe mishahara jamani!
 
Kuna mtu anayeanzisha ugomvi kwa kudhani atapigwa.?
Ni mara chache huwa nacheka na leo wewe umefanikiwa kunichekesha, hasa nikikumbuka mlevi mmoja pale Sinza alieamua kuliazisha, akatupa ngumi na kuanguka yeye!
 
Povu likutoke wewe, uniambie mimi nimekaukiwa na koo. Tulia wewe ni Kibaraka tu, Unakarisrishwa maneno hujui kwamba unabeba Laana.

Hovyo
Laana anazo huyo jiwe wako pamoja nawe kibaraka wake kiazi
 
Yes alikua mzalendo ndio maana alianzisha expansionist policy ili ujerumani irudi kwenye ukubwa wake kabla ya versailles treaty!!
Expansionist policy si lazima iwe uzalendo.

Inaweza kuwa kichaa, inaweza kuwa ufashisti, inaweza kuwa udikteta.

Your argument is a logical fallacy, logical non sequitur.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako, hiyo haimaanishi ni lazima utake dunia nzima iwe nchi yako.
 
Don’t kid youself you don’t know you’re Plato from your Betrand



We actually read around here

Mchana mwema

Nikuuliza hata influence za Nietzsche kwa NAZI na associated classical music wa NAZI movement uwezi jibu.

If you wanna go philosophical try me; huku kwetu atusomi vitabu on how to be a millionaire.

👋
 
Kuna mtu anayeanzisha ugomvi kwa kudhani atapigwa.?
Ukianzisha ugomvi ambao ni rahisi sana kuona kuwa utapigwa, ukaisababishia nchi yako madhara makubwa, wewe si mzalendo.

Wewe ni mjinga. Ni muhaini. Kinyume cha mzalendo.
 
Nilisoma kitabu cha Ludovick Mwijage kuna mengi aliyaandika nilikuwepo wakati wa utawala wa mwalimu ila mengi tu sikuyajua hadi baada ya kusoma hiki kitabu na baba yangu aliyekuwa mtumishi katika utawala ule aliponiambia mengine mengi baadae.

Ukiangalia aliyoandika Ludovick ni 90% yalijirudia katika utawala wa Magufuli walau tu zama hizi za miaka 6 kutokana na teknolojia ndio tulifahamu mengi na watu kupata mahali pa kusemea.

Nyerere pengine kwa kujua au kutokujua kuna madhila mengi sana alituachia kuna familia hawataki hata kumsikia je ni watu walifanya kwa amri yake au walifanya bila yeye kujua??

Nyerere kipindi cha mwishoni mwa uongozi wake alikiri katiba hii inampa madaraka makubwa sana na tusipokuwa makini mbeleni huko kuna mtu ataitumia vibaya (japo naye aliitumia vibaya pengine hakuwa anajiona anaitumia vibaya)

Rai yangu kama watu hawakujifunza na kufanya reform za katiba hii kutokana na nyakati ngumu nchi ilipopita 2015-2021 basi watanzania wajiandae kwa tufani nyingine pengine tunaweza kushuhudia au tusishuhudie kutokana na kutokuwa hai.

 
Unaweza nisaidia pdf yake ?
 
Mwijage aliandika pia "The Dark Side of Nyerere's Legacy". Nilikisoma.

Kumbe wale kina Sheikh Yahya Hussein wote walikuwa ma informer wa Usalama wa Taifa. Mtu unaenda kwa mnajimu akutengenezee mipango yako, kumbe mwenzako anaenda kutoa taarifa kwa Usalama.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…