Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

💐🎁🛡️
 
Kati ya uzalendo wa Magufuli ni kuhamisha fedha ya ujenzi wa ndege wa Kajunguti (bukoba) hadi Chato. Matokeo yake uwanja wa Bukoba ukabaki hatarishi, ajali ya ndege ya Precision mwaka 2022 Kati ya mambo mengine ilisababishwa na uwanja kukosa taa wakati wa mvua. Pia na kukosa tawa la kuongoza kutua na kuruka kwa ndege kutokana na ufisadi wa Magu.
 
Mkuu tafuta maandiko kuhusu Germany (19th&20th centuries), Hitler, the NAZI Party na the SS ujielimishe kikamilifu kuhusu unachoongea.

Halafu nenda taratibu na dhana ya uzalendo. Hiyo ni propaganda illusion inayotumika sana na madikteta kuwamaliza mahasimu wao.
 
Kuna kumsahu Magufuli, na kusahu historia. Hakuna mahali nimesema tusahau historia ya Tanzania. Usichanganye haya mambo mawili.
Kwanini unatulazimisha tumsahau?

Mbona Nyerere, Mkapa ,Mwinyi hatulazimishwi kuwasahau?

Hili jina linawatetemesha sana.
Popote linapotajwa unafiki na utapeli wenu unawahukumu mioyoni mwenu.
Na bado!
 
🙏👏🛡️
 
Hizi porojo zilizhafeli kitambo sana

Wanainama, wanainuka wanaona haya haooo!
 
Dunia ya kichwani mwake labda.

Waliotaka kuziweka nchi zao top ten za dunia tumewaona kwenye stages za kimataifa.

Wakati Magufuli anajifungia kwake Tanzania kama mwali wa Kizaramo anayesubiri kuchezwa.
🤣 🤣 🤣
 
Ninavyozidi kupumua ndivyo ninavyozidi kumkumbuka JPM. Na umri nilio nao, sisi ni wazaliwa wakati wa uhuru, sijawahi ona kiongozi mzalendo kama JPM, kumsahau sio rahisi.
 
Mimi hapa sijui mazuri ya Magufuli zaidi ya yeye kutekeleza majukumu yake ka Rais. Kusema kupita kwenye flyover za Magufuli ni UKENGE wa hali ya juu.

Kwa hiyo ninaposafiri kwenda Mbeya niseme napita barabara ya Nyerere?? Au ninapokwenda Mwanza niseme napita barabara ya Mkapa.

Mtoa mada inawezekana umri wako ni mdogo sana yaaani umezaliwa after 1990 ndiyo maana unaona huyu mwendawazimu Magufuli kafanya makubwa kwa kujenga flyover. Kuna waliomtangulia kama Mkapa na Kikwete walifanya makubwa sana wala hawakukandamiza demokrasia au kuua watu.

Acha UPIMBI
 
Auto Google translator :

Tanzanians should follow the example of Germany, we should forget Magufuli and put effort to move forward​


I don't think there is a Tanzanian who does not know the good things about Magufuli as the president of Tanzania, he will protest that Magufuli had no patriotism for Tanzania, he hated corruption, he hated the people who he sees hindered his efforts to develop Tanzania. No Tanzanian will deny that Magufuli was a true hard worker, loved his country and Tanzanian citizens, the number one patriot.

But what does that remind you of?

It reminds us of a leader who once had the quality of Magufuli in Germany, Adolf Hitler. Hitler was truly a patriot. He managed Germany and made Germany a nation with a stronger economy than all nations. He loved patriotism, he hated corruption and betrayal against his country. Hitler was the founder of VW cars, Volks Wagen (People's Car) so that every German citizen could afford to own a car. No leader in Germany can be said to have brought progress to his country like Hitler, the number one patriot of his country.

But now, who do you hear today praising Hitler for the great things he did for Germany? No, because no one has forgotten the pain caused by Hitler.

There is no one here in Tanzania who does not know the pains brought by Magufuli in his quest to develop Tanzania, pains that have no defense no matter how you look at them. It has no justification.

However, for those who are alive, hating Hitler or Magufuli, who are already dead, is a sign that we have mental health problems, we need psychiatric help. Praising them is also a problem, because we hurt those who were hurt by them, who are still alive with us. We will ride in Hitler's VW cars, we will pass through Magufuli's flyovers, but we will not sing their praises.

As Germany decided to forget Hitler with the good things he did for his country, in Tanzania we should forget Magufuli with the good things he did for our country.

Let's look ahead now. Let's forget the past, stop comparing the current leadership with the past. Let's break up the gangs. Let's start over.

The world and your country need YOU now, not Hitler, not Magufuli
 
Ninavyozidi kupumua ndivyo ninavyozidi kumkumbuka JPM. Na umri nilio nao, sisi ni wazaliwa wakati wa uhuru, sijawahi ona kiongozi mzalendo kama JPM, kumsahau sio rahisi.
Uzalendo wenyewr ni dhana iliyokuwa iverrated.

Yani uke uzakendo pure, achana na huu wa Magufuki uzakendo feki wa kupata mileage za kisiasa.

Yani ni hivi, Magufuki hakuwa mzakendo, alikuwa actir wa uzalendo.

Lakini, hata angekuwa mzalendo kweli, uzalendo wenyewe katika dunia hii ya leo ya competency and competition, ni ujinga tu.
 
Kwa viwango tulivyompima tayari ameshafeli pakubwa!
 
Kwanini unatulazimisha tumsahau?

Mbona Nyerere, Mkapa ,Mwinyi hatulazimishwi kuwasahau?

Hili jina linawatetemesha sana.
Popote linapotajwa unafiki na utapeli wenu unawahukumu mioyoni mwenu.
Na bado!
Kwa sababu suala la Magufuli Vs Samia linaleta mgawanyiko na makundi, hatujawa kitu kimoja. ndio maana tunapaswa kumsahau.

Hao kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi tulishawasahau, tunachokumbuka kwa sasa ni historia zao. Na pia hawakuwa na issue za kuumiza au kufaidisha kama ilivyokuwa kwa Magufuli, kiasi kwamba vifo vyao vionwe kuwa sherehe kwa baadhi ya watu. Wewe ulishasikia katika zama hizi za Samia kuna watu wa kundi la Nyerere?
 
Kwahiyo Magufuli ndiye Rais WA Kwanza, makosa yake ni ku-crake down rushwa siyo na kuwaudhi wakubwa

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Unajua, naweza kuwa nimezaliwa mwaka after 1990, lakini na wewe pia niseme huelewi kabisa maana ya fasihi. Nikiongelea kupita kupita kwenye flyover za Magufuli that is symbolic language, flyover hapo kiwakilishi cha lolote zuri alilofanya Magufuli, iwe Nyerere dam, iwe Tanzanite bridge, iwe barabara sijui ipi, iwe ndege za ATCL nk

Sasa wewe unachoona ukenge ni tatizo lako tu la kutokuwa umeenda shule, unachukulia sentensi kama ilivyoandikwa. Wewe ni aina ya mtu nikisema jamaa yuko majuu anakula bata, utaona ajabu sana mtu anaishi kwa kula nyama ya bata tu! Kweli elimu mali.
 
Pumba tupu, peleka zizi la nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…