Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa!

Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake.

Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji.
Tunajidhalilisha!

Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk,tumeshindwa kutulia na kukipanga hata iwe miaka 100 ijayo tukaijenga nchi yetu wenyewe? Hiyo haraka ni ya nini?

Wazee wetu kina Warioba, Msekwa, Malecela, Msuya nk niwaulize, mmekubali wajukuu zenu na elimu zao kuwa manamba wa Wazungu? Ndivyo hivyo Mwl. Nyerere aliwausia? Vijana,wajukuu zenu serikali iliwasomesha hadi vyuo vikuu ili wawe ombaomba duniani? Au waendesha bodaboda tuu na siyo kusimamia rasilimali zetu?

Ni kwa nini kila Rais aingiapo tunaruhusu alete mambo yake mapya na siyo kuendeleza ya mtangulizi au yaliyoasisiwa na nyie wazee wetu?

Mwl. Nyerere alituachia rasilimali tuzitumie kujiletea maendeleo au kuzinadia duniani?

Tujitizame.
Kwa sababu mumeshindwa kuzila?
 
Wanakua na vipaumbele mia kidogo,mtu anataka korosho,kesho pamba,kesho uchumi wa buluuuu,madini,tozo,maparachichi India,gesi,......
Vipaumbele hakuna au ni kujitoa ufahamu
 
Tanzania imegeuka kituko katika jumuia za kimataifa yaani tunamuomba kila mtu tunayekutana nae na kumkopa kila mtu.

Ukigeuka hivi mkopo ukigeuka vile mkopo.

Ni mikopo Republic.
 
Huo ni uwekezaji wa ndani hata sisi tunatakiwa tuwe ivo.lakini nakumbuka kipindi cha gesi wawekezaji wa ndani walinyimwa vitalu na wengine kukejeliwa kuwa hawana hela yakuwekeza kwenye gesi na muhongo kipindi kile.Hakuna kampuni kubwa huku italetwa kwa ajili ya uwekezaji Afrika sahau tutaletewa low scale industrie kama viwanda vya maji,biskuti,pipi na kadhalika ambavyo hata sisi bakhresa anavyo.ubaguzi upo china wafrika wote wametengewa soko lao kwazuuu ambapo bidhaa nyingi zinazalishwa na viwanda vidogo huna uwezo wa kwenda kufunga mzigo hongkong utaaza wapi? Na utamuuzia nani?.its special for uropean only

Ni kweli Watanzania wengi walikuwa hawana uwezo wa kufanya uchunguzi wa mafuta au gas walikuwa madalali tu na kutaka wapewe bure halafu wapate 10% . Kwenye hili hata Mengi alikuwepo.
 
Mitaji tunayo? Ujuzi tunao? Ukiachana na Tanzanite, hakuna rasilimali nyingine inapatikana Tanzania peke yake hapa duniani, we are not special, wageni wana options pia
Mitaji na Technology zote zinaweza kutafutwa na kupatikana,shida hapa ni viongozi wetu zero brain na mbaya zaidi tunachagua tunao fanana nao!
Invest ment katika teknojia na mtaji vinahitaji muda,lakini viongozi wa CCM wenyewe wakishika madaraka wanachokimbia ni Ku utilize kila kilichopo ili aonekane anafanya kazi kumbe mbele ni kiza-hawajali kabisa future.

Emu angalia Urusi Nchi yenye Rasilimali za maliasili nyingi kuliko Nchi yoyote Duniani wana kila kitu but hawatumii hovyo,the same to USA ana resource lakini bado anataguta za wengine na zake ametunza au zinatumiwa na RAIA wake.
 
Siku mmoja nilimuuliza Mchumi mwenzangu akina GGM,North Mara,Tembo Nickel na Mihodi mingine mingi imagine Watanzania ndio wangekuwa wanachimba ni ajira angapi Serikali ingepata.Mapato ambayo tunapata sasa kutoka huko ingekuwa ni Makampuni yetu ndio yanachomba tungepata ma-trillion ya fedha.
 
Mkuu ndio ile msemo kwenye mawazo hawana power,na kwenye Power hawana mawazo.
 
Nchi ina laana hii. Ujinga ujinga tu kila siku. Sasa hakuna tunachokisimamia zaidi ya kutembeza bakuli dunia nzima.
 
Kwani Nyerere yeye ndo nani mpaka ionekane eti alituusia sijui alituachia Rasilimali...Nyerere ndo chanzo hasa cha shida nyingi tulonazo
Kuwa na shukrani mkuu. Tambua mchango wake wa kupigania uhuru na kuijenga Tanzania yenye umoja wa kitaifa.

Hakuwa Mr.Perfect ila toa walau appreciation ya mazuri aliyofanya.
 
Umeshawahi kufikiria barter trade? Panua mawazo ya kufikiri.
Kwahiyo hapo penye barter trade ndo unaona umepanua mawazo ya kufikiri?

Sasa hiyo barter trade unafanya na nani?! Na mafundi sonara wa Kariakoo, au?
 
Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa!

Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake.

Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji.
Tunajidhalilisha!

Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk,tumeshindwa kutulia na kukipanga hata iwe miaka 100 ijayo tukaijenga nchi yetu wenyewe? Hiyo haraka ni ya nini?

Wazee wetu kina Warioba, Msekwa, Malecela, Msuya nk niwaulize, mmekubali wajukuu zenu na elimu zao kuwa manamba wa Wazungu? Ndivyo hivyo Mwl. Nyerere aliwausia? Vijana,wajukuu zenu serikali iliwasomesha hadi vyuo vikuu ili wawe ombaomba duniani? Au waendesha bodaboda tuu na siyo kusimamia rasilimali zetu?

Ni kwa nini kila Rais aingiapo tunaruhusu alete mambo yake mapya na siyo kuendeleza ya mtangulizi au yaliyoasisiwa na nyie wazee wetu?

Mwl. Nyerere alituachia rasilimali tuzitumie kujiletea maendeleo au kuzinadia duniani?

Tujitizame.
Mkuu 'Kididmo', sikumbuki kama nilishawahi kukusoma hapa wakati wowote, hata kabla sijajipa likizo maalum ya kutoingia Jukwaani kwa sababu maalum, moja ikiwa kuchuja kwa jamvi kunakoendelea kushamiri nyakati hizi.

Nilipochungullia tu leo, nikaona kichwa cha habari ya mada yako na kushawishika niangalie umeweka kitu gani hapo!

Mada za namna hii ni nadra sana siku hizi kuziona kwenye ukumbi huu, na hata zinapotokea mjadala wake unakuwa rasha rasha tu.

Sijaangalia kilichoandikwa chini ya mada yako hii na wachangiaji ambao kwa naona wamejaza takribani kurasa 6 hadi sasa. Nitachungulia huko nione kilichowekwa.

Kwa sasa, nakushukuru sana kwa kuweka mada kama hii wakati huu. Nchi yetu imekuwa kama malaya tu siku hizi anayejiuza kwa yeyote. Viongozi wetu wanasahau kwamba wajibu wa kuleta maendeleo kwa nchi hii ni wetu wenyewe. Wanatafuta watu toka huko nje watuletee maendeleo? Nchi gani ilikwishaendelea kwa kutegemea watu toka nchi nyingine!

Hawa viongozi ni kama mapandikizi tunaowekewa na mataifa mengine ili waje hapa kutunyonga, huku wakizoa kila tulichojaliwa na Maulana.
 
Hebu na wewe jiulize jambo moja tu:-

Assume leo hii dunia YOTE inasusia Dhahabu na Tanzanite kutoka Tanzania na bidhaa zake. Pamoja na hayo, wewe ndo unakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je, kama taifa, dhahabu na tanzanite yetu tutaitumia kwa matumizi yapi?
Hili la "kususia" limetoka wapi, kama si kuchanganya na kuvuruga mada ambayo iko wazi kabisa inachozungumzia.
 
Hakuna nchi ya afrika isiyotegemea misaada na mikopo
Huo ni uwongo mkubwa. Kitu ambacho tungeweza kukubaliana ni kuwa Serikali kadhaa barani Afrika zinategemea misaada na mikopo kujiendesha, na sivyohivyo tu, ni katika mlolongo mrefu wa wawekezaji kuhakikishiwa ulinzi wa mali zao na sio kwa tija ya wananchi wengi wa kawaida(ambao hawamo serikalini) kama ambavyo Wananchi wanaaminishwa. Toa uwongo wako hapa.
 
Kwahiyo hapo penye barter trade ndo unaona umepanua mawazo ya kufikiri?

Sasa hiyo barter trade unafanya na nani?! Na mafundi sonara wa Kariakoo, au?
Huna mbadala uliotoa hapo, kwani mafundi sonara sio wafanyabiashara? popote walipo, unataka kuniambia hao wawekezaji (kama vile mafundi sonara wahindi) sio wawekezaji? Ondoa utindio wa mawazo.
 
Mkuu usimfananishe Samia na JPM, kila rais anayo haki ya kupita njia anazoona zinaifaa Tanzania. Kipaji alichokuwa nacho JPM Samia hana.

Kipaji alichonacho Samia JPM hana, hivyo msitake kulazimisha hisia zenu za kumpenda JPM ndizo hizo hizo zimeongoze Samia, mnatwanga maji kwenye kinu, mnapoteza muda.
Hao wote uliowataja wanatoka Chama kimoja, na Chama hicho kina lengo moja. Na ni kweli mmoja ni mwanamke jasiri na mwingine ni mwanaume jasiri walakin
Haiwezekani ukawa unafikiri hakuna kasoro na picha wanayoiweka, hilo la kwamba yule alikuwa mwingine na huyu mwingine inaleta nadharia potofu ni kweli kila Kiongozi ana nuru yake na maono yake, na ni binadamu, binadamu huwa anakosea, hapa ujue ni Chama chao ambacho kimebaki sasa kuhadai na kulaghai kuwa waliowapita hawatoki chama kimoja Jiulize hio ndio ilani ya chama? Ndio Dira ya chama au taifa? Je ni sawa kila anayekuja awe ma Dira yake? Tutafika kama Taifa? Kuna ulazima wa kuwa na lengo kuu na Dira la Kitaifa badala ya kila mtu na lwake Haileti tija kutwa.
 
Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa!

Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake.

Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji.
Tunajidhalilisha!

Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk,tumeshindwa kutulia na kukipanga hata iwe miaka 100 ijayo tukaijenga nchi yetu wenyewe? Hiyo haraka ni ya nini?

Wazee wetu kina Warioba, Msekwa, Malecela, Msuya nk niwaulize, mmekubali wajukuu zenu na elimu zao kuwa manamba wa Wazungu? Ndivyo hivyo Mwl. Nyerere aliwausia? Vijana,wajukuu zenu serikali iliwasomesha hadi vyuo vikuu ili wawe ombaomba duniani? Au waendesha bodaboda tuu na siyo kusimamia rasilimali zetu?

Ni kwa nini kila Rais aingiapo tunaruhusu alete mambo yake mapya na siyo kuendeleza ya mtangulizi au yaliyoasisiwa na nyie wazee wetu?

Mwl. Nyerere alituachia rasilimali tuzitumie kujiletea maendeleo au kuzinadia duniani?

Tujitizame.
Haya kawekwze pale Buzwagi, nadhani umesikia bili ya umeme pekee kwa mgodi wanalipa bilioni sita kwa mwezi ni umeme tu bwana mdogo.

Mnavamia sana kujitia ujuaji, Ile damper truck moja it costs 6-7.5 million dollars na inahitaji Kama ishirini hivi za kuanzia bado machine Kama world biggest mining excavators na Mambo kibao.

Msidhani akina bakhesa hawajui kwamba madini yanalipa alisema profesa Mhongo kwamba kufanya exploration ya madini au gas mtaji wake sio wa kufungua kiwanda cha pipi au ice cream.
 
Huna mbadala uliotoa hapo, kwani mafundi sonara sio wafanyabiashara? popote walipo, unataka kuniambia hao wawekezaji (kama vile mafundi sonara wahindi) sio wawekezaji? Ondoa utindio wa mawazo.
Sonara sio mwekezaji aisee huyo anakuwa kwenye group la wafanyabiashara wa kawaida tu.

Mwekezaji ni mtu mwingine bro acha mtu anayetengeneza shanga, Pete, huyo Hana ishu.

Tunaongelea mtu anayeenda kuchimba tani kadhaa kwa mwaka ya dhahabu sio mtu ananunua gramu 300 ndio uite mwekezaji

Mwekezaji ni mtu anatumia trillion Mia tatu kufanya exploration ili ajue Kama atachimba mafuta kwa muda gani Kama yapo kwenye hilo eneo. Huyo hapo hajaanza kuchimba na hajui Kama atapata ndio maana inaitwa exploration serikali yenyewe haiwezi kufanya kamwe tunatumia study za wazungu tu.
 
Siku mmoja nilimuuliza Mchumi mwenzangu akina GGM,North Mara,Tembo Nickel na Mihodi mingine mingi imagine Watanzania ndio wangekuwa wanachimba ni ajira angapi Serikali ingepata.Mapato ambayo tunapata sasa kutoka huko ingekuwa ni Makampuni yetu ndio yanachomba tungepata ma-trillion ya fedha.
Mkuu ndio ile msemo kwenye mawazo hawana power,na kwenye Power hawana mawazo.
Geita, Kahama wachimbaji wazawa wapo wengi sana., jiulize tatizo nini? hawana MITAJI, MASHINE ZA KISASA....hakuna mzawa anaekatazwa kuchimba hayo madini..
 
Hizi ndio akili za waafrika, anaamini hawezi kuwekaza na wala hawa hawezi pata mtaji, hivi akili wao walitoa wapi hao wazungu mnaoenda kuomba,? Kama ni technology hawakuiokota, walisoma, maanake elimu Bora ndio umewasaidia kupata technology, nyie elimu yenu ikoje? Yani huwa hatuwezi kuona mambo zaidi ya urefu wa pua.

Basi someni historia ya nchi zingine waliwezaje? Singapore waliwezaje na ni kisiwa? Ndio nchi yenye watu wenye IQ kubwa duniani,
Acha kulalamika, tueleze in detail jinsi ya kupata mitaji .
 
Back
Top Bottom