Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.

Mnapiga kelele za nini si mle tu matunda ya uvamizi , mliona raha baba yenu wa Taifa alipotuvamia na kuuwa maelfu ya watu , sasa wacha karma iwatafune polepole, na hata bado CCM itauza hadi makalio yenu 😛 😛 😛 😛
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
KIA huduma ni za ovyo sana. Kama hao Oman wanapewa kwa uwazi na wanaweza kuweka kila kitu sawa shida ipo wapi?
NB: Oman wakiweza hata kuchukua Bunge wapewe tu
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.

Siyo kweli kuwa watu wanamtumia Maza. Kama Maza hawezi kuchambua mazuri na mabaya kwa nchi yetu basi hastahili kuwa hapo ..... Pia inawezekana kabisa zikawa ni deal zake mwenyewe. Uhusiano wa Maza na Oman ni wa damu ..... Uncle wa maza ni Waziri Oman ......!!!
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
Samia ni janga la kitaifa mpaka aondoke nchi itakuwa mikononi mwa waarabu
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
Kama unauchungu nenda ukawekeze ww kama huwezi wala babako acha wenye mpunga watumie fursa ww tafuta kula yko
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
Tukatae kuoitia keybord? Mbowe anavyo itsha maandamano si mnamkejeli? Nchi in raia wapumbavu wacha wapige
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
Je wangepewa Wamarekani au Waingereza ungeandika hii thread?
 
Huyu Mama atatuachia mashimo!
Wakati mwingine najiuliza maswali magumu sana sana!! Mama ana tatizo Gani lakini? Mbona anataka Sasa tuvirejee vitabu vitakatifu kuona jinsi hivi viumbe vilileta majanga duniani.

Pengine kupitia huyu mama tukaingia kwenye kumbukumbu ambazo hazitafutika katika historia ya Dunia!!

Tatizo ni Nini lakini?
 
Back
Top Bottom